Ni kwanini serikali imeshindwa kuwaajiri wahitimu wa fani za mafuta na gesi pamoja na uchache wao?

Kipindi kile watu walilishwa upepo wakijua wataenda kwenye rig na Mandatory Course za STCW 95. Kozi za awali za kufanya kazi kwenye rig zinatolewa na South Africa sisi tulikimbilia kuanzisha kozi kubwa za kiutawala na kusahau watendaji wa chini.

Kweli mkuu, saizi pale DMI wameanzisha degree ya Offshore na masuala ya gesi. Wanafunzi watamaliza bila kwenda kwenye Rig.

Kwenye Rig kuna kazi kibao za chini ambazo tungepata wajuzi zaidi. Kuna Banksman,Rigger,Jack up, Sweepers,watu wa rescue, Helicopter operation za under water na uokozi juu ya meli
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
Mbona mnatuharibia uzi jamani. Tujadili sera za nchi yetu. Ili zirekebishwe hicho mnacho andika ni vitu individual. Sisi ndio viongozi wa kesho let's be serious
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
Kuna ambazo hazihitaji diploma au degree zile kazi za kawaida. Kuna wale washika drill, jack,crane operator,sweeper,welder hizi kuna short course zake za wiki moja
 
Jamaa angu alikumbwa na Upepo wa Petrolium aiseee angejuaa akili zake angeweka hata kwenye Civil Eng mamaeee sio huu upuuzii.. Ndo shida ya serikali kuanzisha project zisizokuwa na future plan yani wanakurupuka tuuu mwisho wa siku Mkuuwa TPDC anapewa muhuni tuu wa UVCCM huko hata petrol hajui inafananaje upuuzi mtupuuu...[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Mbona mnatuharibia uzi jamani. Tujadili sera za nchi yetu. Ili zirekebishwe hicho mnacho andika ni vitu individual. Sisi ndio viongozi wa kesho let's be serious
Mheshimiwa mtarajiwa, mpiga kura wako nipo hapa nitakusapoti utaniambia jimbo gani nijiandikishe nikupigie kura.

Hivi vyote vilitokea kwenye mafuta na gesi
 
Njoo nikulishe kama una njaa.

Wewe utakua mchawi. Unaonekana unawivu sana tena wivu wa kichawi kabisa. Mimi huwezi kuniroga karoge ndugu zako. Kama post zangu zinakukera usiwe unazifungua.
Tafuta JUHA moja ulindikie Application letter upate pesa ya kula MIHOGO.

Njaa itakuua kudadadeki
 
Hehe,

Motivational speaker 🤣🤣🤣

Njaa itakuua
 
Sasa nimeula lazima niwe kampeni meneja wako .

Ila naanza kupunguza urabu ili kampeni zikikaribia nitengeneze mazingira ya kuwa free na mambo yangu sababu nikiendelea na urabu watanikatalia ..

Karibu mbozi ndugu muheshimiwa tuko na wewe.
Ahsante sana
 
unahitaji kuwa na technical diploma au degree then STCW95, OPITO nk then ukatafute kazi kwenye rig...either ukawe motorman, 2nd engineer, 3rd engineer au chief kabisa, roughneck, derrickman, nk nk..
STCW zinapatikana hapo Marine Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…