GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ipo Siku mtakuja Kuwaalika hata Wemdawazimu hapo kama hamtokuwa makini.
Nimejaribu kuchunguza Wageni wanaoalikwa katika Mabunge ya Kenya Rwanda na Uganda na Kugundua Watu wanaoalikwa hapo si tu wamefanya nini ila je, wana Akili Vichwani mwao na wana Tija ya Kimaendeleo kwa Maisha ya Vizazi vijavyo?
Mualikeni pia hapo Bungeni na yule aliyefanikiwa kuyafanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu na Mabaya huku Wagonjwa wa Akili wakiongezeka sasa na Kuwa ( Kufikia ) Millioni Saba ( 7,000,000 ) kwa sasa.