Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

Wapo wengi,tatizo kuwafahamu.Yupo dada mmoja anaitwa hajra mungula,nimemuona kwenye kesi nyingi maarufu ya yusuph manji, Pia ya yul bwana wa IPTL na ile ya dawa za kulevya ya Shamimu Mwasha na mumewe
Wakili aieleza Mahakama afya ya Sethi inadhoofu

Kesi ya Shamimu na mumewe, bado Mahakama inasubiri ripoti ya Mkemia Mkuu


View: https://www.facebook.com/Habarileogazeti/videos/wakili-wa-manji-hajra-mungula-akizungumza-na-waandishi-baada-ya-mteja-wake-kuach/1635152499888429/

Asante
 
Duu sheria hiya....

Umeteuliwa kuongoza Wizara Mama ya Shimo lisilojaa - Kijana aliyechahuliwa kajenga nyumba nzuri sana
2101b89a9b9ba5860ebb43650f9c53ec.jpeg
 
Back
Top Bottom