Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

Kwenye kundi la kupiga kelele na kuonekana kwenye camera na media ndio hawapo na hata vyeti vyao wana GPA Kali kuliko hao wanaume
Kabisa yaani mtu kusema Madeleka na Mwakabusi ni mawakili mahiri! Unabaki kusema hiiii
 
Duu sheria hiya....

Umeteuliwa kuongoza Wizara Mama ya Shimo lisilojaa - Kijana aliyechahuliwa kajenga nyumba nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…