Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Hili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
Hili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
Karne hii ya 21 Bado wanaleta mambo ya kikoloni wakati Dunia ya Sasa ni ya uwazi na utandawazi kweli Hawa wako nyuma ya mda afu wanajifanya wasomi wameelimika eti wanafanya kazi TCRA, kumbe utumbo mtupu.Inashangaza sana.... Hivi hii ni nchi kati ya nchi huru 195 zinayotambulika Duniani au ni mkusanyiko wa makabila yanaoyoongozwa na itikadi za mizimu na kifalme?... Hivi mamlaka inayojiendesha kwa kodi na tozo zitokanazo na mapato ya matumizi ya mitandao, Inapata ujasiri wapi wa kufunga baadhi ya mitandao kwa kiburi tu hivi hivi?... 😡
Ila ndio polisi ,TcRA na serikali wanatumia Vpn.Usisahau wanasema kutumia VPN ni jinai
Halafu kila siku wanaaga kwenda kazini na kusaini kwenye vitabu kuwa wanafanya kazi ya kufungia mitandao....Hovyo kabisa.😎Karne hii ya 21 Bado wanaleta mambo ya kikoloni wakati Dunia ya Sasa ni ya uwazi na utandawazi kweli Hawa wako nyuma ya mda afu wanajifanya wasomi wameelimika eti wanafanya kazi TCRA, kumbe utumbo mtupu.
Wanasema kwa mdomo? ...waandike kabisa tangazo rasmi kwenye gazeti la serikali kwamba mitandao imefungiwa Tanzania ili ijulikane kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani.Ila ndio polisi ,TcRA na serikali wanatumia Vpn.
We bwege kila mtandao unaoendekeza upuuzi funga, Chins huwezi kumchezea Rais, nawashangaa TCRA kutoifungia FB wakati vijana waliooza tabia wanamtukana na kumdhalilishs Rais wetuHili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
Nenda China, North Korea uongee huo usenge wakoKarne hii ya 21 Bado wanaleta mambo ya kikoloni wakati Dunia ya Sasa ni ya uwazi na utandawazi kweli Hawa wako nyuma ya mda afu wanajifanya wasomi wameelimika eti wanafanya kazi TCRA, kumbe utumbo mtupu.
Aisee inawezakana unaishi vingunguti kiembe mbuzi na siku wakifungia mpaka JF utakuwa bwege kwenye vijiwe vya kahawa.We bwege kila mtandao unaoendekeza upuuzi funga, Chins huwezi kumchezea Rais, nawashangaa TCRA kutoifungia FB wakati vijana waliooza tabia wanamtukana na kumdhalilishs Rais wetu
Kuna mtu amekufa Kwa kukosa Twitter?Hili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
Siyo wao wanalazimika kufungia na wale mliowapa dhamana ya kuongoza taifa lenu ili mkae gizaniKarne hii ya 21 Bado wanaleta mambo ya kikoloni wakati Dunia ya Sasa ni ya uwazi na utandawazi kweli Hawa wako nyuma ya mda afu wanajifanya wasomi wameelimika eti wanafanya kazi TCRA, kumbe utumbo mtupu.
Wee kilaza Tena kiazi ni mnufaika wa haya madudu ndo maana unatetea upuuzi ipo siku mwisho wenu utafika hakuna mwanzo usio na mwisho Tena mwisho wenu ni mbayaWe bwege kila mtandao unaoendekeza upuuzi funga, Chins huwezi kumchezea Rais, nawashangaa TCRA kutoifungia FB wakati vijana waliooza tabia wanamtukana na kumdhalilishs Rais wetu
Unamfananisha mchina na upuuzi wenu, wenzenu washatengeneza jua lao la kumulika usiku kucha nchi nzima, asaivi wanawaza kuamishia makazi sayari ya mars, nyie mnawaza kuwazimia watz mitandao, wee huoni Hilo ni gep tyari, nenda katafte vilaza wenzako wa kujishindanisha nao sio wachina Wala sio Mimi, Kwa mchina na kwangu Mimi lazma upeleeNenda China, North Korea uongee huo usenge wako
Usisapoti ujinga wanafanya ukolini wa kijinga ulopitwa na wakati, asaivi ni mwendo wa utandawazi waendane na muda waache ushambaKuna mtu amekufa Kwa kukosa Twitter?