Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Sio tu X, hata Telegraph ilifungiwaHili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
Sio tu X, hata Telegraph ilifungiwaHili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
Ni wapumbavu? Hata anaesema kuumia VPN ni kosa ukimuuliza sababu ya msingi ni ipi hana cha kukujibu....useless kabisaWanafungia mitandao afu Wanakuambia kutumia VPN ni kosa 😂 Dah viongozi wetu ni majanga
jambo ambalo hasajui ni kwamba, x inamilikiwa na elon musk, ambaye yupo karibu mno na trump, kama wamefungia mtandao wake akiamua kuongea na trump kiburi chao kitafutika bila wao kujua. wakawaulize south africa hadi wameomba poo. sembuse nchi kama hii!Hili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
Mpaka sasa hivi mwezi umepita tumeingia July 1 leo bado wameifingia, mie sina VPN kila nikibonyeza ngoma inazunguuka tu kama simu haina network, ajabu sasa ndio wanapotuma taarifa zao za umma kwa mtandao waliofungia (naona heading tu za notification, nikibonyeza hola)Usisahau wanasema kutumia VPN ni jinai