jambo ambalo hasajui ni kwamba, x inamilikiwa na elon musk, ambaye yupo karibu mno na trump, kama wamefungia mtandao wake akiamua kuongea na trump kiburi chao kitafutika bila wao kujua. wakawaulize south africa hadi wameomba poo. sembuse nchi kama hii!
Mpaka sasa hivi mwezi umepita tumeingia July 1 leo bado wameifingia, mie sina VPN kila nikibonyeza ngoma inazunguuka tu kama simu haina network, ajabu sasa ndio wanapotuma taarifa zao za umma kwa mtandao waliofungia (naona heading tu za notification, nikibonyeza hola)
Wameweka mtego mtu akijaa kwenye MFUMO anapigwa kesi matumizi mabaya ya mtandao kwa kupost maudhui mabaya/uchochezi alafu anapigwa na matumizi ya VPN kinyume na sheria aka unafanya uovu kwa kijificha kwa kutumia VPN