Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Watu walikuwa wanasema subiri Magufuli aondoke madarakani jamaa ata suffer sana. Anachukiwa hata na CCM wenzie.
Leo hii si kwamba Magufuli hayupo Madarakani. Ni kwamba hayupo kabisa Duniani. Na Makonda anadunda tu.
Mtu ambaye tuliambiwa hafai kuwa uraiani. Muuaji, jambazi, amewatesa wauza madawa ya kulevya, amewaonea watu n.k. mateja, wezi,mafisadi, majangiri, machangudoa ndo walikuwa wanamchafua kijana wa watu. Sasa wanang'aa ng'aa macho tu.
Leo hii hakuna ambacho kimeonesha kuwa ana hatia. Watanzania waliona tu wamchafue kijana wa watu sababu aliwabana sana. Sijaona kesi mahakamani zinazomhusu. Sijaona. Wanasema alihusika na utekaji hakuna kesi hata ya kumsingizia. Inawezekana kuna watu walifanya haya kusudi kumchafua.