CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Yule nyamitako aliyeshindwa hata kumtia mimba mkewe hadi akaenda kukamuliwa manii zikarutubishwe kwenye maabara au mwingine? Raha ya mwanaume umtie mimba mkeo kutoka kiunoni mwako siyo ukamuliwe mbegu kama ng'ombe.
Ndiyo maana haguswi?
Elitwege mpumbavu kweli weweChadema ni wapumbavu sana
fafanua maana ya upumbavu, usipende kutumia manenon ambayo huwezi kuelezea maana yake wewe mpuuzi!Chadema ni wapumbavu sana
Ndio itakuwa hivyo.Ndiyo maana haguswi?
Kumbe bima yake ni kubwa, basi poa.Ndio itakuwa hivyo.
Yuko wapi?Makonda ni kiboko ya Ufipa
Walipo Covid 19Yuko wapi?
Sasa hao waliotendewa hayo kwa nini hawajaenda mshtaki? Hawakuonewa walistahili.mleta mada nahisi wewe ni chawa wa huyu mpuuzi. makamba ni katili, mhuni, jambazi na mwizi!
Wakijitokeza watu waliodhulumiwa na huyu mtu ndio utaelewa!
Hata USA walinpiga ban kuingia kwao kutokana na 'mikono yake kuwa michafu' usichukulie mchezo!
Watu walikuwa wanasema subiri Magufuli aondoke madarakani jamaa ata suffer sana. Anachukiwa hata na CCM wenzie.
Leo hii si kwamba Magufuli hayupo Madarakani. Ni kwamba hayupo kabisa Duniani. Na Makonda anadunda tu.
Mtu ambaye tuliambiwa hafai kuwa uraiani. Muuaji, jambazi, amewatesa wauza madawa ya kulevya, amewaonea watu n.k. mateja, wezi,mafisadi, majangiri, machangudoa ndo walikuwa wanamchafua kijana wa watu. Sasa wanang'aa ng'aa macho tu.
Leo hii hakuna ambacho kimeonesha kuwa ana hatia. Watanzania waliona tu wamchafue kijana wa watu sababu aliwabana sana. Sijaona kesi mahakamani zinazomhusu. Sijaona. Wanasema alihusika na utekaji hakuna kesi hata ya kumsingizia. Inawezekana kuna watu walifanya haya kusudi kumchafua.
Jinai haiozi, wanamlinda saa hizi watatoka. Tumesema asubiri tu kwani we una haraka ya gani?Asubiri nini? Nyie mlikuwa mnamchafua bure tu. Leo hii mnabaki kusema tu asubiri.
Majungu tuJinai haiozi, wanamlinda saa hizi watatoka. Tumesema asubiri tu kwani we una haraka ya gani?
We! Vunja mikataba halafu uone kama atakaa kimya.Chadema huwa wazushi mno.
Lisu amekatiwa chake sasa yupo kimya kama hajawahi hata ishi Tanzania.