Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?


Kutia heshima sio kusanifu wengine.
 
Kuna kiwanja cha shilingi million 5 mjini????!!!! Kina ukubwa gani???
 
Mjini kiwanja milioni ngapi???? Au mjini Simiyu hapo sawa.
 
Nikisema mjini si Dar es Salaam au Arusha tu. hata Manundu Korogwe ni mjini.
Nimeuliza hapo juu kumbe ushajibu....
Kwa hiyo nihamie korogwe ili nikapate kiwanja cheap!
 
Usilinganishe huo upepo hapo juu na wa hapo chini
 
Miyeyusho sana huyo ,,,,,, but yote Tisa,kumi ghorofa ni prestige and to show you how much wealthy you are, hata ukiangalia ni maghorofa machach ni kwaajili ya kuish mengi ni maofisi na hotels,,so target ya wenye fedha sio kuish kishua Bali kuboresha office zao
 
Mimi najenga gorofa kwa sababu napenda sana design za gorofa, ndio ugonjwa wangu kwa kifupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…