Kama unaona hiyo ni issue kubwa vipi wewe unaeandika kwa kuweka herufi kubwa pasipostahili shida yako iko matako.ni mwako?Kukosea katika Jukwaa la Watu Werevu ( Great Thinkers ) kama hapa JamiiForums Kwako Wewe siyo Kosa? Utakuwa na Shida mno tu ya Kichwani.
Yes mkuu. Kwann ajielezer kwako wakat ni mshkaji tuNa wa huko hata kama unaongozana nae Kwenda ( Kuingia ) huko akishakujua kuwa ni Mpumbavu hawezi kupoteza muda wake Kukufafanulia pia.
Why watu Wana obsession na hii hospital
Tafadhali naomba uniandikie tena hapa ile Hospitali yako uliyochapia hadi sasa Watu wanakucheka kama siyo Kukusanifu pia kwa Kukurupuka tu.Kama unaona hiyo ni issue kubwa vipi wewe unaeandika kwa kuweka herufi kubwa pasipostahili shida yako iko matako.ni mwako?
Yule alikuwa anataka kuzichanga, na kafika nazo airport wamemputa kama mtoto mchanga.Jasusi kaingizwa cha kike na Zitto ya kabwaga manyanga..
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Pole kwa kile kinachokusibu.Tafadhali naomba uniandikie tena hapa ile Hospitali yako uliyochapia hadi sasa Watu wanakucheka kama siyo Kukusanifu pia kwa Kukurupuka tu.
Nini haina maana?Sasa kama ulijua kuwa haina maana kwa Mimi au Sisi kuyajua ilikuwaje ukawashwawashwa na Mwenyewe Kutuandikia vile? Acha kuwa Juha sawa?
Nyinyi watoto wa juzi mna matatizo sana, hapo zamani kila taasisi hasa mashirika ya umma walikuwa na hospital zao za kutibu watu wao na familia zao.Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Unaleta porojo za kitoto.Ukiwa na kadi yako ya NHIF tu unakwenda kutibiwa pale bila shida. Haijalishi wewe ni nani...tatizo wabongo peree mingi. Eti sijui nini blaa blaa... pale mtu yoyote anaenda tu.
Mkapanamefariki kwa njia ipi ya kutatanisha?Hiyo Hosptal nadhani kuna mapungufu ya maarifa ni vyema ubakie kuitwa zahanati tu kuliko kupewa sifa za Hosptal hi hali wengi hukariki hata kwa magonjwa ambayo siyo Hatari kama alivyofariki mkapa kwa njia ya kutatanisha
Pale siyo makao makuu, aliyekwambia kakuingiza chaka.makao makuu ya tiss
Sasa bila ya Kuanzisha hii Mada Kiuchokozi hivi Mimi Mtoto wa Juzi tu kama ulivyosema haya Maarifa na Madini yako makubwa ningeyajuaje pia?Nyinyi watoto wa juzi mna matatizo sana, hapo zamani kila taasisi hasa mashirika ya umma walikuwa na hospital zao za kutibu watu wao na familia zao.
Kuna watu wa viwandani hospital yao Dar group, kuna JWTZ wana hospital yao ya Lugaro, sasa watu wa kitengo kuwa na hospitali yao ya Mzena memorial ndio imekuwa nongwa?
Wanaweza kutibu raia pia, kama Dar group na Lugaro wanavyofanya kwa sasa....labda kama hawataki nyomi la wagonjwa.Nyinyi watoto wa juzi mna matatizo sana, hapo zamani kila taasisi hasa mashirika ya umma walikuwa na hospital zao za kutibu watu wao na familia zao.
Kuna watu wa viwandani hospital yao Dar group, kuna JWTZ wana hospital yao ya Lugaro, sasa watu wa kitengo kuwa na hospitali yao ya Mzena memorial ndio imekuwa nongwa?
Andika mambo yenye mantiki, siyo haya ya kiumbea. Unamwambia nani sasa unaposema "mmeamua kutuficha watanzania" kwani wao siyo watanzania? na je wakikuamabia kuwa wamelazwa hapo wewe itakusaidia nini? Je unataka wasitibiwe pale au unataka iweje? unataka waendelee kuwa wanakwenda kutibiwa nje ya nchi kama zamani?Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Watajuana wenyewe .Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Humu wanaolalamika hayo mapungufu ni CCM watupu kwani ndugu zao wengi ndiyo huenda kutibiwa hukoTumeshiba sasa ngoja tukailaumu serikali alisikika kibaka mmoja wa ufipa.
Wawe wanatibiwa majumbani mwao waache kwenda HosptalAfya za viongozi wakubwa ni national security issue. Tuishie hapo
Membe sasa siyo kachero tena ni mzee mstaafu asiye na msimamo mwenye njaa kubwa baada ya Account zake zote kufungiwa kashindwa kutoa pesa anaishi kwa kuunga unga tu huku akisikilizia huruma tokea kwa mtukufuKama Bernard Membe wenu kila Uchao hapa JF mnajifaragua kwa Kumuita Jasusi Mbobezi je, wakina Hayati Kombe na Apson wao mtawaitaje?