Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Kama unaona hiyo ni issue kubwa vipi wewe unaeandika kwa kuweka herufi kubwa pasipostahili shida yako iko matako.ni mwako?
Tafadhali naomba uniandikie tena hapa ile Hospitali yako uliyochapia hadi sasa Watu wanakucheka kama siyo Kukusanifu pia kwa Kukurupuka tu.
 
Sasa kama ulijua kuwa haina maana kwa Mimi au Sisi kuyajua ilikuwaje ukawashwawashwa na Mwenyewe Kutuandikia vile? Acha kuwa Juha sawa?
Nini haina maana?

Wewe hujui hata kuuliza swali, hivyo siwezi kukujibu.

Pia, si lazima unisome, unaweza kuniweka ignore list usione kabisa ninaloandika.

In fact mimi nakuweka ignore list kwa sababu nishakuona unaniparatia na mimi situmii watu kama wewe.
 
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Nyinyi watoto wa juzi mna matatizo sana, hapo zamani kila taasisi hasa mashirika ya umma walikuwa na hospital zao za kutibu watu wao na familia zao.

Kuna watu wa viwandani hospital yao Dar group, kuna JWTZ wana hospital yao ya Lugaro, sasa watu wa kitengo kuwa na hospitali yao ya Mzena memorial ndio imekuwa nongwa?
 
Hiyo Hosptal nadhani kuna mapungufu ya maarifa ni vyema ubakie kuitwa zahanati tu kuliko kupewa sifa za Hosptal hi hali wengi hukariki hata kwa magonjwa ambayo siyo Hatari kama alivyofariki mkapa kwa njia ya kutatanisha
Mkapanamefariki kwa njia ipi ya kutatanisha?

Kwanza lile limwili la Mkapa kufika umri ule ni kudura za Mungu tu.
 
Nyinyi watoto wa juzi mna matatizo sana, hapo zamani kila taasisi hasa mashirika ya umma walikuwa na hospital zao za kutibu watu wao na familia zao.

Kuna watu wa viwandani hospital yao Dar group, kuna JWTZ wana hospital yao ya Lugaro, sasa watu wa kitengo kuwa na hospitali yao ya Mzena memorial ndio imekuwa nongwa?
Sasa bila ya Kuanzisha hii Mada Kiuchokozi hivi Mimi Mtoto wa Juzi tu kama ulivyosema haya Maarifa na Madini yako makubwa ningeyajuaje pia?
 
Nyinyi watoto wa juzi mna matatizo sana, hapo zamani kila taasisi hasa mashirika ya umma walikuwa na hospital zao za kutibu watu wao na familia zao.

Kuna watu wa viwandani hospital yao Dar group, kuna JWTZ wana hospital yao ya Lugaro, sasa watu wa kitengo kuwa na hospitali yao ya Mzena memorial ndio imekuwa nongwa?
Wanaweza kutibu raia pia, kama Dar group na Lugaro wanavyofanya kwa sasa....labda kama hawataki nyomi la wagonjwa.
 
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Andika mambo yenye mantiki, siyo haya ya kiumbea. Unamwambia nani sasa unaposema "mmeamua kutuficha watanzania" kwani wao siyo watanzania? na je wakikuamabia kuwa wamelazwa hapo wewe itakusaidia nini? Je unataka wasitibiwe pale au unataka iweje? unataka waendelee kuwa wanakwenda kutibiwa nje ya nchi kama zamani?
 
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Watajuana wenyewe .
 
Kama Bernard Membe wenu kila Uchao hapa JF mnajifaragua kwa Kumuita Jasusi Mbobezi je, wakina Hayati Kombe na Apson wao mtawaitaje?
Membe sasa siyo kachero tena ni mzee mstaafu asiye na msimamo mwenye njaa kubwa baada ya Account zake zote kufungiwa kashindwa kutoa pesa anaishi kwa kuunga unga tu huku akisikilizia huruma tokea kwa mtukufu
 
Back
Top Bottom