Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nini kio nyuma ya pazia ?

Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara.

Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa.

Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 hadi takriban dola 120.


View: https://www.facebook.com/100066278391994/posts/serikali-ya-iran-imetangaza-hatua-kubwa-ya-dharura-kunusuru-uchumi-wa-wananchi-w/1260144112871523/

Wee jamaa inamaana wairan wanalipwa kiduchu kuliko watanzania?
Aiseeee, hela zote walikuwa wanatengenezea makombola
 
Well, for one, because they can.......................
 
Swali lako ungewauliza wairani wenyewe. Ila kwa viongozi wanaojitambua kuongeza ruzuku kwenye vipato vya wananchi wakati wa mazingira magumu ni kawaida. Ila pia inawezeka na hongo ya wazayuni kwa wairani Ili wajifanye wanaomba poo kwa izrael.
 
Sijui, lakini vipi hiyo dola 75 kwao unanunua nini na nini? Mkate kiasi gani, maji lita moja, mafuta, ngano, ardhi vifaa vya ujenzi na mengineyo.
January walikuwa wanalalamika mfumuko wa bei vipato havikidhi mahitaji, Serikali ilizima internet wakaua watu elf 40
 
Nini kio nyuma ya pazia ?

Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara.

Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa.

Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi takriban dola 120 (shilingi 300,000).


View: https://www.facebook.com/100066278391994/posts/serikali-ya-iran-imetangaza-hatua-kubwa-ya-dharura-kunusuru-uchumi-wa-wananchi-w/1260144112871523/

Fake news!!
 
Kuna kikosi kinaitwa Basij, ni kama FFU ila wapo mitaani muda wote hasa katika kipindi hiki, wana bunduki
Acha uongo Trump kasema wameshaimaliza Iran kivita hakuna cha askari wala kamanda wa jeshi aliyesalia sasa hawa Basij wametokea wapi mkuu? Ina maana Trump ni muongo?
 
Israel imeua wanawake na watoto 70,000 huko Gaza mbona hamkupiga kelele. Huu unafiki sijui kwa faida ya nani.

Hiyo 40,000 haikuwa verified popote pale.
Gaza wana silaha ila wairan hawakuwa wanashambulia watu mwanzon mwa maandamano
 
Gaza wana silaha
Gaza ndio nani? Hamas ndio wana silaha sasa kuua wanawake na watoto ilikua halali?
wairan hawakuwa wanashambulia watu mwanzon mwa maandamano
Wapo waliokuwa na silaha mkuu, so kama justification ni "Gaza walikua na silaha" basi hata kama ni mmoja tu alikua na silaha basi ni yale yale tu.

Ukipinga mauaji ya Iran kwa mnavyodai 40,000 basi ni lazima nguvu hiyo hiyo itumike kupinga mauaji ya wapalestina (Sio Hamas) zaidi ya 70,000!!
 
Back
Top Bottom