Wee jamaa inamaana wairan wanalipwa kiduchu kuliko watanzania?Nini kio nyuma ya pazia ?
Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara.
Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa.
Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 hadi takriban dola 120.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100066278391994/posts/serikali-ya-iran-imetangaza-hatua-kubwa-ya-dharura-kunusuru-uchumi-wa-wananchi-w/1260144112871523/
Sijui, lakini vipi hiyo dola 75 kwao unanunua nini na nini? Mkate kiasi gani, maji lita moja, mafuta, ngano, ardhi vifaa vya ujenzi na mengineyo.Wee jamaa inamaana wairan wanalipwa kiduchu kuliko watanzania?
Aiseeee, hela zote walikuwa wanatengenezea makombola
kutengeneza silaha ni gharama, ilibidi serikali ibane baketi kwenye mishaharaWee jamaa inamaana wairan wanalipwa kiduchu kuliko watanzania?
Aiseeee, hela zote walikuwa wanatengenezea makombola
January walikuwa wanalalamika mfumuko wa bei vipato havikidhi mahitaji, Serikali ilizima internet wakaua watu elf 40Sijui, lakini vipi hiyo dola 75 kwao unanunua nini na nini? Mkate kiasi gani, maji lita moja, mafuta, ngano, ardhi vifaa vya ujenzi na mengineyo.
Kwanini raia hao hao wasikinukishe sasa hivi, wakati utawala wao upo vitani?January walikuwa wanalalamika mfumuko wa bei vipato havikidhi mahitaji, Serikali ilizima internet wakaua watu elf 40
Kuna kikosi kinaitwa Basij, ni kama FFU ila wapo mitaani muda wote hasa katika kipindi hiki, wana bundukiKwanini raia hao hao wasikinukishe sasa hivi, wakati utawala wao upo vitani?
Ulikuwepo? Eti wakauwa watu elfu 40January walikuwa wanalalamika mfumuko wa bei vipato havikidhi mahitaji, Serikali ilizima internet wakaua watu elf 40
Ulikuwepo? Eti wakauwa watu elfu 40
Fake news!!Nini kio nyuma ya pazia ?
Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara.
Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa.
Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi takriban dola 120 (shilingi 300,000).
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100066278391994/posts/serikali-ya-iran-imetangaza-hatua-kubwa-ya-dharura-kunusuru-uchumi-wa-wananchi-w/1260144112871523/
Israel imeua wanawake na watoto 70,000 huko Gaza mbona hamkupiga kelele. Huu unafiki sijui kwa faida ya nani.
View: https://youtu.be/fRZo1mz-ZHc?si=s7YjSFASmM07VjbQ
Ni zaidi ya elf 40, serikali ilizima internet, mwanzoni walidanganya ni watu wamekodiwa nje, baadae ushahidi ukawaaibisha, kwanini mlikuwa kimya kipindi hiki wakati Iran inaua wairan ?
Acha uongo Trump kasema wameshaimaliza Iran kivita hakuna cha askari wala kamanda wa jeshi aliyesalia sasa hawa Basij wametokea wapi mkuu? Ina maana Trump ni muongo?Kuna kikosi kinaitwa Basij, ni kama FFU ila wapo mitaani muda wote hasa katika kipindi hiki, wana bunduki
Gaza wana silaha ila wairan hawakuwa wanashambulia watu mwanzon mwa maandamanoIsrael imeua wanawake na watoto 70,000 huko Gaza mbona hamkupiga kelele. Huu unafiki sijui kwa faida ya nani.
Hiyo 40,000 haikuwa verified popote pale.
Gaza ndio nani? Hamas ndio wana silaha sasa kuua wanawake na watoto ilikua halali?Gaza wana silaha
Wapo waliokuwa na silaha mkuu, so kama justification ni "Gaza walikua na silaha" basi hata kama ni mmoja tu alikua na silaha basi ni yale yale tu.wairan hawakuwa wanashambulia watu mwanzon mwa maandamano