Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Kwani mwalimu wa bushi na mjini, wanatofautiana mshahara?
Mpwayungu Village ni Salary ni Moja japo Primary za town utakuta hata magari yamepaki ya walimu ukilinganisha na miaka ya nyuma, ila hao uliwataja pia tunao hapa mtaani
 
Mkuu asa mko vizuri why humuoi 🥸 ngoja wazee waje wamtangazie ndoa 🙂
 
Mpwayungu Village ni Salary ni Moja japo Primary za town utakuta hata magari yamepaki ya walimu ukilinganisha na miaka ya nyuma, ila hao uliwataja pia tunao hapa mtaani
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wapo mitaani eti
 
Wanajiwekaje!?...ili jamii ikupende, nawe jipende...ukijidharau upo uwezekano mkubwa jamii nayo ikakudharau...
 
Nguo zao zote nizile zenye marinda, Mala nyingi ni suruali za fundi cherehani wa kibongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawanunui suruali Dukani, wananunua kitambaa wanapeleka tailoring
Hao ni wale old-school teachers.

Bila shaka uko kwenye dunia ya zamani.

Mimi huku niliko nawaona matichs wanaishi safi tu

Wako wanaodrive mandinga,wengine wananyumba zali na wengine wanasomesha shule nzuri tu.

Anza badili kwanza perception yako kwa walimu kisha utawaona wenye maisha ya kueleweka.

Mimi pia nishawahi ona madocta walevi, wengine wana miaka 20 kazini hawana hata nyumba

But i didn't care mambo yao waachie wenyewe
 
Sio kwamba wanaoenda ualimu huwa wamefeli, bali huwa na ufaulu mdogo.
Kwa mujibu wa NECTA division 4 sio fail, ni pass.
Waliofeli huandikiwa fail kwenye matokeo.
Hivyo basi walimu sio watu Waliofeli form 4 bali walipata ufaulu wa chini.
 
Hawa ni wenzetu hatuwezi kuwaacha wanapotea
 
Sio kwamba wanaoenda ualimu huwa wamefeli, bali huwa na ufaulu mdogo.
Kwa mujibu wa NECTA division 4 sio fail, ni pass.
Waliofeli huandikiwa fail kwenye matokeo.
Hivyo basi walimu sio watu Waliofeli form 4 bali walipata ufaulu wa chini.
Mbona huyo wa four haendi form six au mwenye four ya form six haendi degree?, jibu nikwamba umefeli vigezo
 
Ukifanikiwa kimaisha acha dharau kwa wengine
 
Hilo lipo wazi, hakuna sekta isiyo kuwa na mchango inamana walimu ni potential sana kuliko physicians
We una stress zako huko umejisikia kuzimalizia kwa walimu lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hao hao unao waita leo primitive ndio walio kufanya na wewe ukajua kuwaita ni primitive leo. unless uniambie wewe hukufundishwa na walimu bali ulifundishwa na mabaharia,

acheni kudharau watu walio wapa mwanga wewe huna natofauti na anaye mtukana mamaake kwa kupatukana pale alipo tokea.
 
Mkuu hiyo mbuzi taaluma yake ni ualimu na imesota mtaani baada ya kubahatisha kakibarua ka laki tatu Basi inaona ndio wakati sahihi wa kuidharau taaluma yake,

Kila taaluma iko na pros and cons zake, si kweli kuwa ni waalimu pekee ndio wanapitiaaisha magumu na mikopo, sidhani Kama Kuna mtumishi wa umma asiyekopa....
 
Kwa sasa kipato ndio kinakupa heshima mtaani na sio kazi yake. Kiuhalisia walimu wengi wana vipato vya kawaida sana, wanaongoza kukopa kwenye duka la mangi, wanaongoza kuomba lift, hawana swaga za matumizi ya pesa nk. Hapo heshima itatokea wapi?
Binafsi huwa namuona anaye mtukana mwalimu tena kwa maandishi hana tofauti na yule anaye utukana uchi wa mamayake ulio mtoa na akaliona jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…