Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #181
Hilo halina pingamiziMfumo mzima wa elimu una shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo halina pingamiziMfumo mzima wa elimu una shida
fafanua mkuuEeh Mungu niepushe na dharau kijana wako maisha yana fumbo kubwa [emoji120]
Mpwayungu Village ni Salary ni Moja japo Primary za town utakuta hata magari yamepaki ya walimu ukilinganisha na miaka ya nyuma, ila hao uliwataja pia tunao hapa mtaaniKwani mwalimu wa bushi na mjini, wanatofautiana mshahara?
Mkuu asa mko vizuri why humuoi 🥸 ngoja wazee waje wamtangazie ndoa 🙂Umefanya nifanye ufukunyuzi kidogo kwa jambo uliloandika!
Mpnz wangu(tunaishi pamoja japo hatujafunga ndoa, ila tuna mtoto) ni mwalimu, (shahada), ana miaka 9 kazini, basic salary yake ni 1,235,000/=
Alikopa ili kujenga kwao, aliponiambia habari za kukopa afanye maboresho ya nyumbani kwao nilimuunga mkono, akafanya hivyo....
Nanunua mahitaji yote ya nyumbani, lakini mara nyingi tu hutumia pesa yake kununulia mahitaji ya hapa na pale, sasa haya maisha ya sijui kukopa kila kitu yanahusu walimu wa jnamna gani?
Maana pamoja na kukopa anabaki na ka sh.570k kwa matumizi yake madogo madogo, na kama usingekuwa mkopo angekuwa anakunja zaidi ya 900k kila mwezi, japo si nyingi lakini sio ya kumfanya mtu akope dagaa na mafuta ya kula kwa mangi...
Mimi mshahara wangu hauna tofauti kubwa na wa mpnz wangu, lakini kwetu semina, safari posho na turushwa tunatunisha mifuko na kufanya tuheshimike kidogo kitaa!
Lakini tofauti na rushwa, na hizi seminar + safari hakika nakwambia hali ingekuwa mbaya mnooo, wote tungekuwa tunaugulia ukata!
Kizuri ni kwamba watanzania wanatupa heshima kutokana na rushwa wanazotupa wao wenyewe...
View attachment 2272097
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wapo mitaani etiMpwayungu Village ni Salary ni Moja japo Primary za town utakuta hata magari yamepaki ya walimu ukilinganisha na miaka ya nyuma, ila hao uliwataja pia tunao hapa mtaani
Ushaambiwa ni mwalimuMkuu asa mko vizuri why humuoi 🥸 ngoja wazee waje wamtangazie ndoa [emoji846]
🤣🤣🤣🤣🤣Ushaambiwa ni mwalimu
Hao ni wale old-school teachers.Nguo zao zote nizile zenye marinda, Mala nyingi ni suruali za fundi cherehani wa kibongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawanunui suruali Dukani, wananunua kitambaa wanapeleka tailoring
Hawa ni wenzetu hatuwezi kuwaacha wanapoteaHao ni wale old-school teachers.
Bila shaka uko kwenye dunia ya zamani.
Mimi huku niliko nawaona matichs wanaishi safi tu
Wako wanaodrive mandinga,wengine wananyumba zali na wengine wanasomesha shule nzuri tu.
Anza badili kwanza perception yako kwa walimu kisha utawaona wenye maisha ya kueleweka.
Mimi pia nishawahi ona madocta walevi, wengine wana miaka 20 kazini hawana hata nyumba
But i didn't care mambo yao waachie wenyewe
Mbona huyo wa four haendi form six au mwenye four ya form six haendi degree?, jibu nikwamba umefeli vigezoSio kwamba wanaoenda ualimu huwa wamefeli, bali huwa na ufaulu mdogo.
Kwa mujibu wa NECTA division 4 sio fail, ni pass.
Waliofeli huandikiwa fail kwenye matokeo.
Hivyo basi walimu sio watu Waliofeli form 4 bali walipata ufaulu wa chini.
Ukifanikiwa kimaisha acha dharau kwa wengineHili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaidi vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
Mambo yao waachie wenyewe,usijiumize kichwaHawa ni wenzetu hatuwezi kuwaacha wanapotea
We una stress zako huko umejisikia kuzimalizia kwa walimu lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hao hao unao waita leo primitive ndio walio kufanya na wewe ukajua kuwaita ni primitive leo. unless uniambie wewe hukufundishwa na walimu bali ulifundishwa na mabaharia,Hilo lipo wazi, hakuna sekta isiyo kuwa na mchango inamana walimu ni potential sana kuliko physicians
Nani kadharau mtu, ivi nikimuona mtu kachanganyikiwa, halafu nikaja kuwaambia flani amechanganyikiwa je hizo ni dharau au ni ukweli?Ukifanikiwa kimaisha acha dharau kwa wengine
SawaMambo yao waachie wenyewe,usijiumize kichwa
Mkuu hiyo mbuzi taaluma yake ni ualimu na imesota mtaani baada ya kubahatisha kakibarua ka laki tatu Basi inaona ndio wakati sahihi wa kuidharau taaluma yake,Afya ya akili ni tatizo kubwa sana nchini kwetu..kuna namna mtu anaandika unaona kabisa hayuko sawa kichwani,mbaya zaidi wanaofuata kwenye kuchangia nao wanaingia kwenye mtego wa mtoa mada..uko hapa unaandika kwa mbwembwe umesahau ni mwalimu ndio kakufanya ujue kuandika.
Binafsi huwa namuona anaye mtukana mwalimu tena kwa maandishi hana tofauti na yule anaye utukana uchi wa mamayake ulio mtoa na akaliona jua.Kwa sasa kipato ndio kinakupa heshima mtaani na sio kazi yake. Kiuhalisia walimu wengi wana vipato vya kawaida sana, wanaongoza kukopa kwenye duka la mangi, wanaongoza kuomba lift, hawana swaga za matumizi ya pesa nk. Hapo heshima itatokea wapi?