Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Kwa hiyo wale askari walioenda kuwaua ndugu zako pale ngorongoro ndo wanasifa nzuri mtaani?serikali yenyewe ina madeni kibao,kwa hiyo tuseme serikali haina akili kwa sababu inadaiwa?madeni sio kigezo,wewe umemaliza deni la Helsb?kama hudaiwi huna akili.
 
Kwa hiyo wale askari walioenda kuwaua ndugu zako pale ngorongoro ndo wanasifa nzuri mtaani?serikali yenyewe ina madeni kibao,kwa hiyo tuseme serikali haina akili kwa sababu inadaiwa?madeni sio kigezo,wewe umemaliza deni la Helsb?kama hudaiwi huna akili.
Serikali ipi inadaiwa mpaka na muuza vitumbua??
 
Ni mdogo sana, ni uonevu mtupu, Kenya mwalimu anaanza kulipwa M +
Kenya ina Jumla ya watu 48Milioni, tax base ni 5.5Million, with diversified capitalist economytangu mwanzoni wa miaka ya 1960, Square KM 520+K

Tanzania ina watu 62+ Milioni, tax base ni 3.9 Milioni, imeanza ku diversify uchumi into capitalistic sense miaka ya 1980s kipindi cha Free trade. [emoji3] 940+K

Bado unafananisha Kenya na Tanzania, kwanini nisiseme ni chuki ?
Screenshot_20220626-082912.jpg
 
Kenya ina Jumla ya watu 48Milioni, tax base ni 5.5Million, with diversified capitalist economytangu mwanzoni wa miaka ya 1960, Square KM 520+K

Tanzania ina watu 62+ Milioni, tax base ni 3.9 Milioni, imeanza ku diversify uchumi into capitalistic sense miaka ya 1980s kipindi cha Free trade. [emoji3] 940+K

Bado unafananisha Kenya na Tanzania, kwanini nisiseme ni chuki ?View attachment 2272408
Kwa hizi fact nimekupa salute lakini haiondoi msoto wanaoupata walimu period
 
Mkuu utakuwa tu na matatizo na walimu, mbona kuna wafanyakazi wengi wanavipato kidogo kuliko walimu? Sema watumishi wengi wa serikali wanawadharau walimu
 
Baada ya kusoma huu uzi ninegundua yafuatayo:
Bado kuna baadhi ya wana JF wana uelewa mdogo sana katika kuchambua vitu wanaendeshwa na upepo wa hoja na sio current realistic situation.

1. Unadhifu:
Kusema walimu sio nadhifu nakataa kabisa kwa walimu wengi tunaowaona kwa sasa ni vijana and in most cases they are smart. Tuache wale wanaoenda kustaafu (wazee)

2. Madeni:
Siwatetei walimu ila kwenye swala la madeni sio waalimu pekee taasisi tulizopo tunapokea watu wa kila kada na ofcourse ukiangalia SP zao madeni ni ya kutosha km walimu tu, tatizo ni kwamba walimu ni wengi kidogo kuliko kada nyingine that's why wanaonekana wana madeni sn. Sitaki kwenda deep kwa hili coz its not allowed to disclose customers info. (Ila hata wale wa kada smart😂 wana madeni sana. Shida hawana walimu tu naomba ieleweke hivyo)

3. Elimu:
Recently walimu wenye bachelor wameanza kupelekwa kufindisha hadi watoto wa shule za msingi. Pia kuna kada kama nursing naona kwenye matangazo ya TV wanasema mhusika awe form four leaver na awe na D mbili au tatu. (Hawa nao vip?) Kwanin wahanga ni walimu tu?? Mtoa mada anipe jibu?

4. Kipato:
It's obvious mkiwa wengi share lazima itakuwa ndogo but Recently walimu wana drive tena wa shule za msingi. Wengine wamefungua maduka ya dawa na wemewaajiri wale wa kada smart🙂😂. Naongea haya sababu tunayaona ukienda mashulen walimu wamepaki Mikebe wengine keyboard warriors tunasema wana hali mbaya na hatuna hata boda😇😇😆

5. Dharau:
Ni uelewa ule ule msaada wa walimu kwa mtoto wangu siwezi kuubeza kwa namna yeyote ile. Tupo bize na uzi kutafunana kimasihara na mkishafyatua watoto mnawakimbiza huko huko kwa hao mnaosema wamefeli😄😄 why usiwapeleke nje???

Way Forward:
Sisi ndio matokeo ya walimu kuwa wengi sababu tunazaana mno na serkali yetu haiwezi kuhudumia wingi huu km vile tunavyotaka la tupunguze kuzaana na tuache kusoma ule uzi wenu pendwa😋🤭.

Mnatoa mifano walimu wa ng'ambo kuwa they are highly educated & their paychecks are awesome ila mnasahaua wanahudumia idadi ndogo sana ya wanafunzi (Wazungu uzazi wa mpango ndio life style yao) kulinganisha na sisi huku Africa ambapo kwa utamaduni wetu watoto wengi ndio mtaji na ufahari. Why hatutumii akili kuona haya??

Nilifikiri badala ya mtoa uzi au mada kudhihaki waalimu ambao naamini hata yeye amepita kwenye mikono yao (Labda km kusoma nje). Angesema mini hasa kufanyike badala ya kebehi tusidharau mchango wa walimu hata kidogo. Juzi ilitokea Corona, shule zikafungwa kwa kweli tulitafutana sasa zingefungwa mwaka hata sijui ingekuwaje😂😂😂

These people need special treatment and respect they do more than what they put in their pockets.

Respect Sir. 👨‍🏫
 
Back
Top Bottom