Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Kipato ndio kipimo cha heshima.

Nachoshangaa ni watanzania, kwanini tumekuwa political cheapest? Nikiangalia watu wa mtindo wako, roho inaniuma sana, wengi husema Ualimu wanaenda Div 4, as if ukienda na div. 1 unakataliwa, hakuna nchi ulimwenguni ambayo walimu wake hawajawahi kupitia nyakati kama hizi.

Samia kaizungumza kauli kama ile watu wanamuunga mkono, kwa sababu Watanzania wengi wanahoji, kwa kuwa mmekuwa kama upepo? Mkaifuata.

Mimi ni Mwalimu, professionally, ni kweli kipato chetu ni kidogo in comparison to vocation, ikiwa una akili timamu, ama una uelewa hata wa 30% kuhusu GDP, GNI and GPP (Economy's measures) utafahamu kabisa, ka nchi kama haka hakana hizo hela za kulipa walimu, ukweli ni kwamba, mnapelekeshwa kisiasa, na mnaenda.

Rejea, 5 Years Education Plan 1962-1967
MUSOMA DECLARATION 1974
Education Policy ya mwaka 1995 na 2000

Utajua imekuwaje leo mpaka hali ya walimu iwe hivi.

BTW; huwa nawasikitikia sana Watanzania wenzangu, for you don't know what you're doing
So sad
 
Mleta mada mpaka muda huu sisi walimu tumekulaani.Na laana yetu itakutafuna mpaka dakika ya mwisho.

Hata kama tuna maisha magumu, hatujielewi,hatupo nadhifu wewe inakuuma nini?Tuache na dhiki zetu,Mungu atatubariki kwa kazi yetu ya kuwasaidia watoto na kuwaondoa ujinga na wafike mbali,na huko mbali wakifika waanze kututukana na kejeli kama hizi hatushangai ndo hulka ya vijana wa sasa wakifanikiwa.

Mungu tubariki walimu, bariki utendaji wetu wa chaki.
 
Pole sana kiongozi wangu umeongea kwa uchungu sana, nadhani ni wakati sasa wa walimu kukataa kutumika kisiasa maana serikali imekuwa ikawafanya kama group la kazi zingine za ziada pale ambapo bajeti yao ni ndogo hivyo hutumia walimu kwa malipo hafifu, angalia mwanza mwezi uliopita kwenye ishu ya anuwani na makazi walimu ndowaliotumika kwenye Ile kazi lakini mwisho wa siku wanadai pesa zao halmashauri ikawa inawazungusha badala ya Laki nne wakaambuli laki moja tu pesa ambayo hata shoe shine hachukui. Walimu mnadharirika na mnanyanyaswa sana. Ila umeonyesha wazi ni jinsi gani mnapita kwenye terrible situation lakini Mkiandamana na kufanya mgomo kushinikiza kupanda kwa mshahara na kuthaminiwa kama wafanyakazi wengine, mtaonekana wa maana sana.
 
Amiin🤲
 
Hii akili sijui itakua lini, badala yakushukuru kwa ushauri wewe unaleta vitisho vya laana, napewa laana na mwalimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mkibadilika mtaonekana wa thamani ebu kataeni serikali isiwageuze wanavyotaka
 
Sikutaka kuchangia hili swala Ila imenibid tu baada ya kugundua mleta mada Ana chuki na hii kada ya ualimu.

Mleta mada anatokwa povu kuwa walimu ni vilaza ni watu waliofeli huku akiwasifia watu wa afya kuwa ndie wenye akili ,Sasa nauliza swali dogo tu hizo pcm ,pcb ,pgm,cbg,cba,eca zinafundishwa na akina Nani?
Na Kama walimu ni vilaza why wazaz waendelee kuwapeleka watoto wao kwa vilaza Tena kwenda kusomea hayo masomo ya science na mengine .
Inawezekaneje aliyefeli amfundishe mtoto wa mtu na huyo mtoto apate division 1 huku yeye anayefundisha ni kilaza.

Turudi kwenye secta ya Afya unadai huko ndio Kuna watu waliofauru vzr ,bahat mbaya husema kwa ngazi yote kuanzia manesi ,wafamasia na wengine.

Katika kada iliyojaa vyeti vibovu Basi ni afya ,wengi six Wana four mbovu Sana hivyo huanzia Chet wanaunga unga Sana.
Vyeti vya hawa manesi ndio uozo wa kutupwa.

Kuna mambo unaweza ukawa sahihi Ila umeyaandika kwa chuki Sana kiasi kwamba inakufanya uonekane una njaa pia una msongo wa mawazo pia una wivu.

Usikariri siku izi walimu Wana drive ,Wana mijengo ya maana Wana biashara zinazoeleweka shida moja hii kada ndio yenye idadi kubwa hivyo ni rahis kuyaona unayoyaona na kutoyaona mazuri pia.

Swala la kukopa madukan kila Kona ,hiyo ni tabia ya mtu mwenyew ,kada kibao tu Wana madeni had makalion iwe wa halmashaur sijui nan.

Kuhusu mshahara labda km hujui tu mwalimu Ana mshahara mkubwa kuzidi mtendaji wa kata ,vijiji ,na sekta nyingine mwalimu anawazid mshahara shida sekta hii haina marupurupu .
Punguza chuki kwa walimu ,unaharisha hapa kwa uwezo wao ,bila mwalimu Leo usingejisifia km wewe sijui upo afya huko japo hujaajiriwa maana mwajiriwa hawez kufanana na wewe
 
Uyu tu...ako na stress..walimu tumsamehe
Screenshot_20220626-074257.png
Screenshot_20220626-074159.png
 
Zao la elimu baada ya uhuru limetokana na mfumo wa elimu wa Westminster, English fixed knowledge systems.

NI HIVI NDUGU.
Baada ya Uhuru, ni chini ya 10% tu ya Watanzania wote walikuwa wameelimika, kwa maana ya ya 3R's (Kusoma, Kuandika na Kuhesabu) mkakati wa Elimu ilikuwa ni kuondoa ujinga, yani kufundisha watu kusoma, kuandika na kuhesabu (Arithmetics) ndio wakati, target ya nchi ilikuwa hiyo tu, sio kuanza kuandaa Lucrative professions, mkakati wa miaka mitano ya mwanzo ni kupata walimu wa kuendana na population ya watu zaidi ya Milioni 12, ungewapataje?

Mwaka 1974' ukaja Mkakati wa Elimu Maalumu kwa Waliokosa (MEMKWA), ulihitaji sifa nyingi uwe Mwalimu?

Tukaja target ikawa ni kila raia awe na Elimu ya Msingi 1974-2000, Wakati huu tayari idadi wa watu imeshazidi 30 Milioni, utapataje Walimu kuendana na hiyo idadi? Na una Sh ngapi za kuwalipa? Mwenye akili ataelewa.

Ikaja target ya Elimu -2005, angalau kila mwananchi awe na elimu ya kidato cha nne, sasa tayari population ishakula 39+ M. Unapataje Walimu? Na una Sh ngapi?

Sasa hapa kwenye Sh ngapi ndio kuna mengi, Ungekuwa hata wewe ni Serikali, ili kutengeneza upatikanaji wa Walimu, ungeweka vigezo vigumu? Serikali ilifahamu, no enough money to facilitate the process, kwa ki GDP cha $40bn huwezi kulipa walimu kwa mapato ya ndani, kwa sababu wanahitajika sehemu nyingi kwenye nchi ya 940+ Sq unapaswa ku underpay, ila u facilitate service, la sivyo unaingia kwenye Financial Crisis kama serikali, nani mwenye div. 1 ambaye aliitwa na kozi kama Engineering, Law, Med ambazo ni Lucrative na Mazingira mazuri ya kazi, angeenda kusota huko "Mfaranyaki"? Serikali ingefanyaje? Kwa kuwa bado targeti ni Elimu Msingi yaani Vidudu mpaka Form IV, unaweza kurahisha access ya kozi za elimu, ili ku ensure quantity, japo the larger the quantinty the lower the quality.

Mimi ni Mwalimu bro, am Teaching the Children of the in-penury, hawana hela ya kunilipa, thats the truth, but the service am giving is incomparable irrespective of my quo.

Ila kwa kuwa pesa ndio heshima, hakuna namna, acha tukope, kwa sababu kwa mapato ya wananchi, hatuwezi kuacha [emoji3]

Samia kaona watu wana hoji sana, kaona akae upande wao, kwa sbabu hiyi ni Political capital, ila anajua why this all.

We only need minds.
 
Hii akili sijui itakua lini, badala yakushukuru kwa ushauri wewe unaleta vitisho vya laana, napewa laana na mwalimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mkibadilika mtaonekana wa thamani ebu kataeni serikali isiwageuze wanavyotaka
Hiyo hiyo akili ambayo wewe unaiona haijakuwa ndiyo iliyo kufundisha na ukajua leo kuwaona akili haijakuwa
 
Uyu bwege tu...ako na stress..walimu tumsamehe
We ni mshamba wa grade A sio kila uzi unatuhusu mengine tunawasemea marafiki zetu wasiokuwa jamiiforum. Nadhani waliosoma really story yangu ya safari ya lindi watakuambia vyeti nilivyo weka nimesoma program ipi.
 
Zao la elimu baada ya uhuru limetokana na mfumo wa elimu wa Westminster, English fixed knowledge systems.

NI HIVI NDUGU.
Baada ya Uhuru, ni chini ya 10% tu ya Watanzania wote walikuwa wameelimika, kwa maana ya ya 3R's (Kusoma, Kuandika na Kuhesabu) mkakati wa Elimu ilikuwa ni kuondoa ujinga, yani kufundisha watu kusoma, kuandika na kuhesabu (Arithmetics) ndio wakati, target ya nchi ilikuwa hiyo tu, sio kuanza kuandaa Lucrative professions, mkakati wa miaka mitano ya mwanzo ni kupata walimu wa kuendana na population ya watu zaidi ya Milioni 12, ungewapataje?

Mwaka 1974' ukaja Mkakati wa Elimu Maalumu kwa Waliokosa (MEMKWA), ulihitaji sifa nyingi uwe Mwalimu?

Tukaja target ikawa ni kila raia awe na Elimu ya Msingi 1974-2000, Wakati huu tayari idadi wa watu imeshazidi 30 Milioni, utapataje Walimu kuendana na hiyo idadi? Na una Sh ngapi za kuwalipa? Mwenye akili ataelewa.

Ikaja target ya Elimu -2005, angalau kila mwananchi awe na elimu ya kidato cha nne, sasa tayari population ishakula 39+ M. Unapataje Walimu? Na una Sh ngapi?

Sasa hapa kwenye Sh ngapi ndio kuna mengi, Ungekuwa hata wewe ni Serikali, ili kutengeneza upatikanaji wa Walimu, ungeweka vigezo vigumu? Serikali ilifahamu, no enough money to facilitate the process, kwa ki GDP cha $40bn huwezi kulipa walimu kwa mapato ya ndani, kwa sababu wanahitajika sehemu nyingi kwenye nchi ya 940+ Sq unapaswa ku underpay, ila u facilitate service, la sivyo unaingia kwenye Financial Crisis kama serikali, nani mwenye div. 1 ambaye aliitwa na kozi kama Engineering, Law, Med ambazo ni Lucrative na Mazingira mazuri ya kazi, angeenda kusota huko "Mfaranyaki"? Serikali ingefanyaje? Kwa kuwa bado targeti ni Elimu Msingi yaani Vidudu mpaka Form IV, unaweza kurahisha access ya kozi za elimu, ili ku ensure quantity, japo the larger the quantinty the lower the quality.

Mimi ni Mwalimu bro, am Teaching the Children of the in-penury, hawana hela ya kunilipa, thats the truth, but the service am giving is incomparable irrespective of my quo.

Ila kwa kuwa pesa ndio heshima, hakuna namna, acha tukope, kwa sababu kwa mapato ya wananchi, hatuwezi kuacha [emoji3]

Samia kaona watu wana hoji sana, kaona akae upande wao, kwa sbabu hiyi ni Political capital, ila anajua why this all.

We only need minds.
Mkuu unajua mambo mengi sana, naendelea kujifunza ila hii nchi ipo siku itakombolewa, nandosiku ya walimu kutoka kwenye utumwa
 
Pole sana kiongozi wangu umeongea kwa uchungu sana, nadhani ni wakati sasa wa walimu kukataa kutumika kisiasa maana serikali imekuwa ikawafanya kama group la kazi zingine za ziada pale ambapo bajeti yao ni ndogo hivyo hutumia walimu kwa malipo hafifu, angalia mwanza mwezi uliopita kwenye ishu ya anuwani na makazi walimu ndowaliotumika kwenye Ile kazi lakini mwisho wa siku wanadai pesa zao halmashauri ikawa inawazungusha badala ya Laki nne wakaambuli laki moja tu pesa ambayo hata shoe shine hachukui. Walimu mnadharirika na mnanyanyaswa sana. Ila umeonyesha wazi ni jinsi gani mnapita kwenye terrible situation lakini Mkiandamana na kufanya mgomo kushinikiza kupanda kwa mshahara na kuthaminiwa kama wafanyakazi wengine, mtaonekana wa maana sana.
"Daktari anapogoma leo, kesho watu hufa, daktari ataheshimiwa na kusikilizwa, Mwalimu akigoma leo, hakuna atakayekufa, maanani itakuwa ndogo, matokeo ni mbeleni huko"

Usidhani mgomo ni utatuzi wa matatizo yote, suala ni mabadiliko ya sera, najua una tu provoke ili ajenda itimie, tunafahamu hizo pilitical tactic.

Walimu hatutumiki kisiasa, ila kazi tunazopewa kipaumbele ni kwa sababu ya Organizational skills, ikiwa tutataka pesa, kwa hela gani mlizo nazo mnaweza kutulipa? As far as inflation, universal economic diversification concern tutadai ongezeko la mishahara, ila sio kugoma goma, tukihitaji kugoma, tutagoma, na si lazima tuwaonyeshe, ila mtajua tu kama kuna jambo halipo sawa.
 
Well spoken
 
Hao walimu walikuja kuwaomba msaada?tunaomba vijana muwe na adabu.Kama wazazi wako hawakukufunza adabu tutakufundisha sisi.Kabla ya yote weka Salary slip yako hapa kwanza tuone mshahara wako.Isije ikawa unatukana walimu kumbe hata mshahara wenyewe huna.Tupia salary slip yako tuoine
Hujielewi acha nikuache
 
Back
Top Bottom