Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Huyu jamaa naona hana tofauti na akili za don nalimison.Kuna mwalimu kaja kukulalamikia ananyanyapaliwa?
Au ni perception yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa naona hana tofauti na akili za don nalimison.Kuna mwalimu kaja kukulalamikia ananyanyapaliwa?
Au ni perception yako?
So sadKipato ndio kipimo cha heshima.
Nachoshangaa ni watanzania, kwanini tumekuwa political cheapest? Nikiangalia watu wa mtindo wako, roho inaniuma sana, wengi husema Ualimu wanaenda Div 4, as if ukienda na div. 1 unakataliwa, hakuna nchi ulimwenguni ambayo walimu wake hawajawahi kupitia nyakati kama hizi.
Samia kaizungumza kauli kama ile watu wanamuunga mkono, kwa sababu Watanzania wengi wanahoji, kwa kuwa mmekuwa kama upepo? Mkaifuata.
Mimi ni Mwalimu, professionally, ni kweli kipato chetu ni kidogo in comparison to vocation, ikiwa una akili timamu, ama una uelewa hata wa 30% kuhusu GDP, GNI and GPP (Economy's measures) utafahamu kabisa, ka nchi kama haka hakana hizo hela za kulipa walimu, ukweli ni kwamba, mnapelekeshwa kisiasa, na mnaenda.
Rejea, 5 Years Education Plan 1962-1967
MUSOMA DECLARATION 1974
Education Policy ya mwaka 1995 na 2000
Utajua imekuwaje leo mpaka hali ya walimu iwe hivi.
BTW; huwa nawasikitikia sana Watanzania wenzangu, for you don't know what you're doing
Pole sana kiongozi wangu umeongea kwa uchungu sana, nadhani ni wakati sasa wa walimu kukataa kutumika kisiasa maana serikali imekuwa ikawafanya kama group la kazi zingine za ziada pale ambapo bajeti yao ni ndogo hivyo hutumia walimu kwa malipo hafifu, angalia mwanza mwezi uliopita kwenye ishu ya anuwani na makazi walimu ndowaliotumika kwenye Ile kazi lakini mwisho wa siku wanadai pesa zao halmashauri ikawa inawazungusha badala ya Laki nne wakaambuli laki moja tu pesa ambayo hata shoe shine hachukui. Walimu mnadharirika na mnanyanyaswa sana. Ila umeonyesha wazi ni jinsi gani mnapita kwenye terrible situation lakini Mkiandamana na kufanya mgomo kushinikiza kupanda kwa mshahara na kuthaminiwa kama wafanyakazi wengine, mtaonekana wa maana sana.Kipato ndio kipimo cha heshima.
Nachoshangaa ni watanzania, kwanini tumekuwa political cheapest? Nikiangalia watu wa mtindo wako, roho inaniuma sana, wengi husema Ualimu wanaenda Div 4, as if ukienda na div. 1 unakataliwa, hakuna nchi ulimwenguni ambayo walimu wake hawajawahi kupitia nyakati kama hizi.
Samia kaizungumza kauli kama ile watu wanamuunga mkono, kwa sababu Watanzania wengi wanahoji, kwa kuwa mmekuwa kama upepo? Mkaifuata.
Mimi ni Mwalimu, professionally, ni kweli kipato chetu ni kidogo in comparison to vocation, ikiwa una akili timamu, ama una uelewa hata wa 30% kuhusu GDP, GNI and GPP (Economy's measures) utafahamu kabisa, ka nchi kama haka hakana hizo hela za kulipa walimu, ukweli ni kwamba, mnapelekeshwa kisiasa, na mnaenda.
Rejea, 5 Years Education Plan 1962-1967
MUSOMA DECLARATION 1974
Education Policy ya mwaka 1995 na 2000
Utajua imekuwaje leo mpaka hali ya walimu iwe hivi.
BTW; huwa nawasikitikia sana Watanzania wenzangu, for you don't know what you're doing
Amiin🤲Mleta mada mpaka muda huu sisi walimu tumekulaani.Na laana yetu itakutafuna mpaka dakika ya mwisho.
Hata kama tuna maisha magumu, hatujielewi,hatupo nadhifu wewe inakuuma nini?Tuache na dhiki zetu,Mungu atatubariki kwa kazi yetu ya kuwasaidia watoto na kuwaondoa ujinga na wafike mbali,na huko mbali wakifika waanze kututukana na kejeli kama hizi hatushangai ndo hulka ya vijana wa sasa wakifanikiwa.
Mungu tubariki walimu, bariki utendaji wetu wa chaki.
Utoto mwingi[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ndomawazo yenu, unapata msoto huku una ndoto za urais, Rais mmoja kwenye nchi walimu wapo zaidi ya laki mbili nchini unaleta ndoto za kipuuzi
Hii akili sijui itakua lini, badala yakushukuru kwa ushauri wewe unaleta vitisho vya laana, napewa laana na mwalimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mkibadilika mtaonekana wa thamani ebu kataeni serikali isiwageuze wanavyotakaMleta mada mpaka muda huu sisi walimu tumekulaani.Na laana yetu itakutafuna mpaka dakika ya mwisho.
Hata kama tuna maisha magumu, hatujielewi,hatupo nadhifu wewe inakuuma nini?Tuache na dhiki zetu,Mungu atatubariki kwa kazi yetu ya kuwasaidia watoto na kuwaondoa ujinga na wafike mbali,na huko mbali wakifika waanze kututukana na kejeli kama hizi hatushangai ndo hulka ya vijana wa sasa wakifanikiwa.
Mungu tubariki walimu, bariki utendaji wetu wa chaki.
Zao la elimu baada ya uhuru limetokana na mfumo wa elimu wa Westminster, English fixed knowledge systems.So sad
Hiyo hiyo akili ambayo wewe unaiona haijakuwa ndiyo iliyo kufundisha na ukajua leo kuwaona akili haijakuwaHii akili sijui itakua lini, badala yakushukuru kwa ushauri wewe unaleta vitisho vya laana, napewa laana na mwalimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mkibadilika mtaonekana wa thamani ebu kataeni serikali isiwageuze wanavyotaka
Hii ni moja ya mbinu zilizo kufaidisha ukawa na uelewa na kwa sababu ya kiburi chako ndiyo maana umeswampa kama kibaka ktk harakati zako za maisha huko Lindi, mpuuzi wewe!Hata adhabu wanazotoa zinaashilia kiwango chao cha uelewa niwabaguzi kwa wanafunzi kisa wanabaguliwa mitaani. View attachment 2272370
We ni mshamba wa grade A sio kila uzi unatuhusu mengine tunawasemea marafiki zetu wasiokuwa jamiiforum. Nadhani waliosoma really story yangu ya safari ya lindi watakuambia vyeti nilivyo weka nimesoma program ipi.Uyu bwege tu...ako na stress..walimu tumsamehe
Asante mkuu kwa kuweka mambo hadharani.Uyu bwege tu...ako na stress..walimu tumsamehe
Mkuu unajua mambo mengi sana, naendelea kujifunza ila hii nchi ipo siku itakombolewa, nandosiku ya walimu kutoka kwenye utumwaZao la elimu baada ya uhuru limetokana na mfumo wa elimu wa Westminster, English fixed knowledge systems.
NI HIVI NDUGU.
Baada ya Uhuru, ni chini ya 10% tu ya Watanzania wote walikuwa wameelimika, kwa maana ya ya 3R's (Kusoma, Kuandika na Kuhesabu) mkakati wa Elimu ilikuwa ni kuondoa ujinga, yani kufundisha watu kusoma, kuandika na kuhesabu (Arithmetics) ndio wakati, target ya nchi ilikuwa hiyo tu, sio kuanza kuandaa Lucrative professions, mkakati wa miaka mitano ya mwanzo ni kupata walimu wa kuendana na population ya watu zaidi ya Milioni 12, ungewapataje?
Mwaka 1974' ukaja Mkakati wa Elimu Maalumu kwa Waliokosa (MEMKWA), ulihitaji sifa nyingi uwe Mwalimu?
Tukaja target ikawa ni kila raia awe na Elimu ya Msingi 1974-2000, Wakati huu tayari idadi wa watu imeshazidi 30 Milioni, utapataje Walimu kuendana na hiyo idadi? Na una Sh ngapi za kuwalipa? Mwenye akili ataelewa.
Ikaja target ya Elimu -2005, angalau kila mwananchi awe na elimu ya kidato cha nne, sasa tayari population ishakula 39+ M. Unapataje Walimu? Na una Sh ngapi?
Sasa hapa kwenye Sh ngapi ndio kuna mengi, Ungekuwa hata wewe ni Serikali, ili kutengeneza upatikanaji wa Walimu, ungeweka vigezo vigumu? Serikali ilifahamu, no enough money to facilitate the process, kwa ki GDP cha $40bn huwezi kulipa walimu kwa mapato ya ndani, kwa sababu wanahitajika sehemu nyingi kwenye nchi ya 940+ Sq unapaswa ku underpay, ila u facilitate service, la sivyo unaingia kwenye Financial Crisis kama serikali, nani mwenye div. 1 ambaye aliitwa na kozi kama Engineering, Law, Med ambazo ni Lucrative na Mazingira mazuri ya kazi, angeenda kusota huko "Mfaranyaki"? Serikali ingefanyaje? Kwa kuwa bado targeti ni Elimu Msingi yaani Vidudu mpaka Form IV, unaweza kurahisha access ya kozi za elimu, ili ku ensure quantity, japo the larger the quantinty the lower the quality.
Mimi ni Mwalimu bro, am Teaching the Children of the in-penury, hawana hela ya kunilipa, thats the truth, but the service am giving is incomparable irrespective of my quo.
Ila kwa kuwa pesa ndio heshima, hakuna namna, acha tukope, kwa sababu kwa mapato ya wananchi, hatuwezi kuacha [emoji3]
Samia kaona watu wana hoji sana, kaona akae upande wao, kwa sbabu hiyi ni Political capital, ila anajua why this all.
We only need minds.
"Daktari anapogoma leo, kesho watu hufa, daktari ataheshimiwa na kusikilizwa, Mwalimu akigoma leo, hakuna atakayekufa, maanani itakuwa ndogo, matokeo ni mbeleni huko"Pole sana kiongozi wangu umeongea kwa uchungu sana, nadhani ni wakati sasa wa walimu kukataa kutumika kisiasa maana serikali imekuwa ikawafanya kama group la kazi zingine za ziada pale ambapo bajeti yao ni ndogo hivyo hutumia walimu kwa malipo hafifu, angalia mwanza mwezi uliopita kwenye ishu ya anuwani na makazi walimu ndowaliotumika kwenye Ile kazi lakini mwisho wa siku wanadai pesa zao halmashauri ikawa inawazungusha badala ya Laki nne wakaambuli laki moja tu pesa ambayo hata shoe shine hachukui. Walimu mnadharirika na mnanyanyaswa sana. Ila umeonyesha wazi ni jinsi gani mnapita kwenye terrible situation lakini Mkiandamana na kufanya mgomo kushinikiza kupanda kwa mshahara na kuthaminiwa kama wafanyakazi wengine, mtaonekana wa maana sana.
Well spoken"Daktari anapogoma leo, kesho watu hufa, daktari ataheshimiwa na kusikilizwa, Mwalimu akigoma leo, hakuna atakayekufa, maanani itakuwa ndogo, matokeo ni mbeleni huko"
Usidhani mgomo ni utatuzi wa matatizo yote, suala ni mabadiliko ya sera, najua una tu provoke ili ajenda itimie, tunafahamu hizo pilitical tactic.
Walimu hatutumiki kisiasa, ila kazi tunazopewa kipaumbele ni kwa sababu ya Organizational skills, ikiwa tutataka pesa, kwa hela gani mlizo nazo mnaweza kutulipa? As far as inflation, universal economic diversification concern tutadai ongezeko la mishahara, ila sio kugoma goma, tukihitaji kugoma, tutagoma, na si lazima tuwaonyeshe, ila mtajua tu kama kuna jambo halipo sawa.
Hujielewi acha nikuacheHao walimu walikuja kuwaomba msaada?tunaomba vijana muwe na adabu.Kama wazazi wako hawakukufunza adabu tutakufundisha sisi.Kabla ya yote weka Salary slip yako hapa kwanza tuone mshahara wako.Isije ikawa unatukana walimu kumbe hata mshahara wenyewe huna.Tupia salary slip yako tuoine