Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Hii nchi tuna janga kubwa. Kwa hiyo ukilaza wa shemeji yako ndio una generalize watu wote. Muhaweshimu basi hata kwa kazi ya kukaa tu na watoto wetu
 
Ndugu yangu Semahengere umeongea ukweli mtupu, shida ilianzia hapo kusema mwalimu aende aliefeli. Hata nyumbani wakiona umefeli wanakwambia basi nenda tu ukasome ualimu maana hakuna namna. Ndio maana wiki iliyopita Samia akiwa zanzibar alisema swala la mtu kufeli akasome ualimu hilo lilekebishwe.
 
Weka salary slip yako hapa,hayo ni maneno yasiyoliwa jomba
 
Swali dogo kwako, Ulisomea Hospitali, Jeshini au TRA? Kama ulisomea Shuleni ulipata wapi huo ufahamu wa kumsadia Shemeji yako maswali aliyoulizwa na wanafunzi wake? Ukichunguza shemeji yako ndio nweupe kichwani na sio Walimu wote, na kama unataka kusema walimu wote ni failures basi hujui kitu.
Wale waliosoma UDSM na vyuo vingine vikuu kabla ya hili wimbi la vyuo vikuu vya private kuja, onyesha walimu waliojiunga wakiwa na matokeo pungufu ya Div 2 tu, halafu tutakuonyesha waliokuwa wanasoma course nyingine wakiwa na Div 3, sasa hapo ndio utajua nani mweupe kichwani.
 
Huna hata kazi unaleta dharau kwa wenye ajira,
 
Ni vyuo vipi vimeonesha sifa za kusoma ualimu ni kwa waliofeli? Na hiyo sera ilipitishwa lini? Au ni maneno ya mtaani yanafanywa kuwa sera ya elimu kitaifa ?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nilidhani neno kuFELI ni kupata 0' kumbe bado sijui.
 
Umenena vema. Tatizo ubongo uliosheheni kamasi hauwezi tambua hilo.!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…