Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Sababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...

Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...

Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...
Kweli lkn sometimes wengi wao hawajiongezi.Kuna mwalimu ni jirani yangu Tofali za kuchoma anafyatua Mwenyewe na mke na watoto wake.Anapanga tanuru na kulichoma mwenyewe.Msingi amechimba na kujenga nyumba ya kisasa mwenyewe mpaka kupaua kapaua mwenyewe.Nyumba kaipandia miti ya maua na matunda mpaka naona wivu.
 
Sio kila mwalimu ana fani hii
 
Ualimu unaenda tu hata kama una EEF
 
W
Labda huko kwenu
Huku mwalimu anaheshimiwa sana
 
Sio shida, kufunzwa na walimu haitufanyi tusiwarekebisha, ukosoaji ni njia salama salama yakumrekebisha mtu.
Hakuna anepinga kukosolewa sema unapokosea inabidi utumie akili na fikra saanaa sasa thread yako imeshadescribe uwezo wako wa kufikiria unaishia wapi... Musiwe munazicompare proffesionals na lifestyles za watu ,,, professional na lifestyle ni vitu viwili tofauti hata ukilala unaharisha...

Wote tukiwa na mawazo kama yako kila mtu ataanza kusema lifestyle ya kila watu na group lako na kusahau kuwa proffesional na kipato havibadilishi mtu tabia ila mtu mwenyewe na maisha yake tu

Kibaya zaidi unaweza kukuta tunaargue na mtu ambae hana majukumu na hajawahi kufahamu majukumu ni nini au ni kitu gani[emoji3] utoto mwingi umekijaa kichwa cchake
 
Unaenda ualimu baada ya kufeli ulikokuwa unataka, ualimu ni kimbilio lawalio feli kwenye kada mbalimbali, una three ya mwisho watu wanakushauri kuwa kwa huu ufaulu ni mdogo sana nenda tu ualimu. Swali linakuja, why ualimu unaendeka kirahisi kuliko program zote zilizobaki.
 
Naomba kujua taaluma yako km hutojali.
 
Nilishakujibu kule mwanzo, kwanini Serikali ina Quantify teachers demand. Ama hukuelewa?
 
Huyo kilaza nae ni CHICHIDODO tu kama mwenzake mleta thread na wengine wanaowafata.... Huwezi kuishi kwa DADA ukawa na akili timamu[emoji3]
Hawa watoto wadogo wakishiba chakula cha bure, huwa wanasumbua sana.

Mtu mwenye akili timamu, hawezi kudharau kazi ya ualimu. Na kama serikali nayo inachangia walimu kudharauliwa na hawa jobless, basi inatakiwa na yenyewe ijitafakari.
Binafsi nitaendelea kuwaheshimu walimu kwa mchango wao mkubwa wa kunipa maarifa katika kichwa changu.

Na mpaka kesho nikienda kwenye Kijiji kimoja hivi huko Ifakara Morogoro, kuna walimu wangu wachache wazee sana (wa UPE)wabebaki!! Huwa nikikutana nao nawasalimu kwa heshima sana pamoja na haka kadigrii kangu ka pale Mlimani enzi hizo Makamu Mkuu ni Mathew Luhanga. Maana ndiyo walio nifundisha kusoma na kuandika.
 
Inahitaji mtu mwenye akili kuelewa hili. Mtoa mada hana uwezo mzuri wa kuchanganua mambo nashauri aachwe.
 
Nilishakujibu kule mwanzo, kwanini Serikali ina Quantify teachers demand. Ama hukuelewa?
Mzee unabishana na mtoto wa 97 aliejion JamiiForums mwaka jana 2021

Imagine[emoji4]

Unajua kuna threads tu ukiisoma tu hapohapo unapata jibu huyu kichwani akili haimo

Eh akili haimo...
 
Ni kwann waligushi vyeti kipindi cha magufuli walifukuzwa wengi walikuwa walimu?, au kwann ambao hawakuwa na elimu ya kutosha wengi walikuwa ni walimu. Mpaka juzi Samia kawahurumia warudi wamalizie miaka yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…