Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Nilishakujibu kule mwanzo, kwanini Serikali ina Quantify teachers demand. Ama hukuelewa?
Kwahiyo kumbe lengo quantity sio quality?? Hapo ndomnaonekana mazwazwer kwasababu lengo ni kupata elimu iliyo bora Sasa kama tutajaza walimu hovyo ili wawe wengi tutakuwa tumekosea ndio maana wamejaa mitaani mpaka aibu. Ajira elfu tisa wameomba laki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nguo zao zote nizile zenye marinda, Mala nyingi ni suruali za fundi cherehani wa kibongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawanunui suruali Dukani, wananunua kitambaa wanapeleka tailoring
Acha uongo mi niko private na mwalimu pia suruali zangu zote ni kadeti za 25 sio wote acha generalized
 
Wewe elimu yako bado haijakukomboa,,, na ukiendelea hivi huwezi kuwa hata balozi wa nyumba tano
Toa fact, elimu haijanikomboa kivipi, Kuna utofauti mkubwa uliopo Kati ya elimu na akili. Ni bora nikose elimu ila akili ninayo. Muone kabudi ni professor wa sheria lakini akili zake ni kama mtoto wa darasa la saba.
 
Binafsi huwa nawashanga wanaowakandia walimu[emoji2]

Badala ya kuwafanya walimu waonekane wabaya wao ndio wanaooneka punguani watu wasiofikiri kwa fikra tunduizi na kwa mantinki.

Walimu wanahukumiwa kwa kipato chao sio kazi yao.

Light walimu wangekuwa wanalipwa mfano mishahara kama ya BOT,TRA je mngewadharau.

Unamdharau vipi mtu aliekutoa ujinga alieishape tabia yako na kuwa fit katika jamii inayokuzunguka.

Kuhusu madeni lukuki labda zamani huko enzi za nyerere hadi mkapa.

Tangu kikwete awe rais amewaboresha walimu maslahi yao pakubwa angaliwa hata viwango vya mshahara hawatofautiani na watu wa kada zingine halmshauri na huko wizara na baadhi ya taasisi wamekosa posho tu.Wengi wao wanajiongeza kitaa.

Mwalimu mlevi,mwenye madeni,tabia chafu chafu ametaka mwenyewe ila sio kazi yake inamfanya awe hio .Japo mzigo kubwa sana wa ujenzi wa taifa wanao ambao haulingani na madlahi yao.

Msiwe mnapost post bila kufanya utafiti au kutafuta sifa humu kisa una una chuki binafsi na walimu.

Mimo nawafahamu walimu wenye maisha mazuri tu wana pilika pilika mtaani za kujikwamua kiuchumi.

Hii negative perception dhidi ya walimu muiache.

Son of a teacher.
 
Wewe ni zao la umasikini, umasikini wa serikali yako iliyoshindwa kulipa Walimu na kuwasomesha kwa lengo la kuendeleza ujuzi wao, wewe ni "reflection" ya miundombinu mibovu ya elimu, wewe ni zao la Mapuuza ya Awamu ya nne na ya tano kwenye maslahi ya Walimu. Haya ndio matokeo mgomo wa Walimu kati ya mwaka 2007-2011, unaakisi kabisa mfumo wetu wa elimu.

Ikiwa wewe ndiye msomi wa fani ya "Sayansi ya Elimu ya Siasa na Utawala" kwa heshima na taadhima niwaombe radhi Watanzania kwa niaba ya Walimu wote nchini, tumekosea. Kuna shida ya kiufundi mahala kwenye elimu yetu.
 
Ni kwann waligushi vyeti kipindi cha magufuli walifukuzwa wengi walikuwa walimu?, au kwann ambao hawakuwa na elimu ya kutosha wengi walikuwa ni walimu. Mpaka juzi Samia kawahurumia warudi wamalizie miaka yao.
Unauliza maswali yenye majibu! Ni kwa sababu fani ya ualimu ndiyo yenye watumishi wengi zaidi wa serikali kuliko kada nyingine.
 
Uliza udom kozi nzito ni ipi.. Hii kozi isikie tu, pale udom ndokozi ngumu nenda kaulize
Wala msingi wangu siyo huo, nilitaka nikuulize kozi ni nyingi kwanini ulichagua hiyo moja?
Taifa haliwezi kuundwa na watu wa aina moja.
Je majukumu ya ualimu unayafahamu?
Na km ni kigezo cha ufaulu, hivi unajua kuna watu hufeli kidato cha 4/6 kwa kupata div 0 na wakirudia pepa hupata div 1 na 2?
 
Chuki binafsi inisaidie nini kiongozi, shida walimu wengi hawana skills za ziada wao wanategemea mwisho wa mwezi tu ndio mana hawaendelei
 
Unauliza maswali yenye majibu! Ni kwa sababu fani ya ualimu ndiyo yenye watumishi wengi zaidi wa serikali kuliko kada nyingine.
Ona anakokimbilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanakuwa wengi kwasababu wanaokimbilia huko ni wale waliofeli, ni fani isiyo na vigezo vigumu
 
Tate wewe ni mwalimu. Usikimbie.

Pokea dozi kutoka kwa mtoa mada.
Mimi ni Mjasiriamali tu kwa sasa. Ila siwezi kukakataa! Nimeshawahi kuwa mtumishi wa Serikali.

Ila ndiyo hivyo tena, shukrani za kipekee ziende kwa Dr. JPM kwa kuniongezea ujasiri wa kujiongeza baada ya kukaza vyuma kupitiliza kwa watumishibwa umma enzi hizo! Na mwisho wa siku nikaona bora nitoke kabisa kwenye hiyo minyororo ya kuajiriwa.
 
Ulitumia akili sana, Sasa sisi wazalendo tunachotaka ni kumtoa mwalimu kwenye giza aende kwenye nuru. Waweze kujiongeza kama Maprosoo wa mtwara, awe anafundisha lakini pia amejiajiri hii itasaidia kuepuka fedheha za kipuuzi.
 
mfano kwa huyu mwalimu, alijiongeza baada ya kuona fedheha zimezidi. Aliamua kufumba macho akaanza kuuza mishkaki huku anafundisha haijalishi watu wanamchukuliaje.
 
This is a smart teacher.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…