"Daktari anapogoma leo, kesho watu hufa, daktari ataheshimiwa na kusikilizwa, Mwalimu akigoma leo, hakuna atakayekufa, maanani itakuwa ndogo, matokeo ni mbeleni huko"
Usidhani mgomo ni utatuzi wa matatizo yote, suala ni mabadiliko ya sera, najua una tu provoke ili ajenda itimie, tunafahamu hizo pilitical tactic.
Walimu hatutumiki kisiasa, ila kazi tunazopewa kipaumbele ni kwa sababu ya Organizational skills, ikiwa tutataka pesa, kwa hela gani mlizo nazo mnaweza kutulipa? As far as inflation, universal economic diversification concern tutadai ongezeko la mishahara, ila sio kugoma goma, tukihitaji kugoma, tutagoma, na si lazima tuwaonyeshe, ila mtajua tu kama kuna jambo halipo sawa.