Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Umeandika kitaalam sana, hongera. Vijana wa sasa hawawezi kujua hili.
 
Walimu ni watu muhimu sana kwenye jamii
Nimesikitika sana na watu wanaodiriki kuwadharau walimu!!!
Nchi yeyote inayodharau walimu haiwezi kuendelea hata kidogo!!
Walimu ndio waliotulea ndo wametundisha kila kitu na hivi tulivyo ni Hawa walimu halafu tunathubutu kuwatukana????
Hivi mwalimu anaesoma degree anakuwaje na ufaulu mdogo???
Hawa wanaosoma nursing, au clinical officer unazijua passmark zao? Unajua wanakwenda jeshini au polisi Wana ufaulu gani?
Nchi hii imeongozwa na walimu mpaka level ya Urais kwa awamu Tatu, Nyerere, Mwinyi na Magufuli na bado Kuna walimu Wana positions za uwaziri , wabunge, na maafisa wengine wengi tu! Unajua mwalimu mwenye degree anaanza na mshahara wa shs, ngapi? Walimu Wana maendeleo makubwa sana tofauti na mtoa mada, wapo walimu wameidhalilisha hii taaluma nakubali kwa baadhi ya wanaokopakopa ovyo mitaani hao wapo ! Tuheshimu hii kada aisee ni kada muhimu sana tukiharibu huku nchi inakufa hii!
Walimu Wana nyumba, magari, biashara, mashamba nk sijui labda anawazumgumzia walimu wa miaka ipi?
 
Ukiona mwalimu kashika chupa ya maji ujue katoka kwenye harusi au semina,kwa mshahara upi anunue maji.
We[emoji38][emoji38] jamaa jinga sana ujue?

Unaowasema ni pamoja na wale ma-assistant tutorials, tutorials, lecturers, na phd holders au ni walimu wa level ipi?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kabisa, walimu wengi Elim zao zakuungaunga
Si kama elimu yako tu mkuu, kuna Uzi ulileta humu kuwa unataka kufanya maombi ya Ualimu ngazi ya bachelor na una GPA ya 3.6 ya Ualimu ngazi ya Diploma

Kwahiyo kiufupi nawewe unaingia kwenye kundi la unaowaita walimu wenye Elimu ya kuunga unga, maana nawewe ulikuwa unataka kuunga unga

Wewe ni mwalimu na huupendi ualimu wako either kutokana na kusota sana mtaani bila kazi, sasa Hasira zako umeamua kuzihamishia kwa walimu wenye Ajira

Naomba nikuulize tu mkuu, kwani Nani alikushauri ukasome Ualimu Diploma na sio course zingine kama Clinical officer nk, au nawewe ndio wale wa form four failure?
 
Naona huu uzi pia unaendeleza kilekile. "dharau dhidi yao".
 
Mzee unabishana na mtoto wa 97 aliejion JamiiForums mwaka jana 2021

Imagine[emoji4]

Unajua kuna threads tu ukiisoma tu hapohapo unapata jibu huyu kichwani akili haimo

Eh akili haimo...
Miaka haina nafasi kubwa katika akili mkuu,huyo ni upumbavu wake mwenyewe mimi nikimleta mdogo wangu darasa la 4 hapa Jf anaweza kuleta vitu vya maana na hoja za busara kumshinda Mpwayungu
 
Sijawahi mkubali huyu kenge mpwayungu village ila alichoongea ni ukweli kabisaaa


Maticha na mapoti acheni ufala ebu badilisheni hizo lifestyle

Mnafeli sana yaani mnaishia kuvaa kadeti zimepauka balaaa
 
Akili zetu sisi watu weusi kutokuelewa kwamba waalimu ni watu muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…