Zao la elimu baada ya uhuru limetokana na mfumo wa elimu wa Westminster, English fixed knowledge systems.
NI HIVI NDUGU.
Baada ya Uhuru, ni chini ya 10% tu ya Watanzania wote walikuwa wameelimika, kwa maana ya ya 3R's (Kusoma, Kuandika na Kuhesabu) mkakati wa Elimu ilikuwa ni kuondoa ujinga, yani kufundisha watu kusoma, kuandika na kuhesabu (Arithmetics) ndio wakati, target ya nchi ilikuwa hiyo tu, sio kuanza kuandaa Lucrative professions, mkakati wa miaka mitano ya mwanzo ni kupata walimu wa kuendana na population ya watu zaidi ya Milioni 12, ungewapataje?
Mwaka 1974' ukaja Mkakati wa Elimu Maalumu kwa Waliokosa (MEMKWA), ulihitaji sifa nyingi uwe Mwalimu?
Tukaja target ikawa ni kila raia awe na Elimu ya Msingi 1974-2000, Wakati huu tayari idadi wa watu imeshazidi 30 Milioni, utapataje Walimu kuendana na hiyo idadi? Na una Sh ngapi za kuwalipa? Mwenye akili ataelewa.
Ikaja target ya Elimu -2005, angalau kila mwananchi awe na elimu ya kidato cha nne, sasa tayari population ishakula 39+ M. Unapataje Walimu? Na una Sh ngapi?
Sasa hapa kwenye Sh ngapi ndio kuna mengi, Ungekuwa hata wewe ni Serikali, ili kutengeneza upatikanaji wa Walimu, ungeweka vigezo vigumu? Serikali ilifahamu, no enough money to facilitate the process, kwa ki GDP cha $40bn huwezi kulipa walimu kwa mapato ya ndani, kwa sababu wanahitajika sehemu nyingi kwenye nchi ya 940+ Sq unapaswa ku underpay, ila u facilitate service, la sivyo unaingia kwenye Financial Crisis kama serikali, nani mwenye div. 1 ambaye aliitwa na kozi kama Engineering, Law, Med ambazo ni Lucrative na Mazingira mazuri ya kazi, angeenda kusota huko "Mfaranyaki"? Serikali ingefanyaje? Kwa kuwa bado targeti ni Elimu Msingi yaani Vidudu mpaka Form IV, unaweza kurahisha access ya kozi za elimu, ili ku ensure quantity, japo the larger the quantinty the lower the quality.
Mimi ni Mwalimu bro, am Teaching the Children of the in-penury, hawana hela ya kunilipa, thats the truth, but the service am giving is incomparable irrespective of my quo.
Ila kwa kuwa pesa ndio heshima, hakuna namna, acha tukope, kwa sababu kwa mapato ya wananchi, hatuwezi kuacha [emoji3]
Samia kaona watu wana hoji sana, kaona akae upande wao, kwa sbabu hiyi ni Political capital, ila anajua why this all.
We only need minds.