Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Kichaa huwa kina idara mwingine kichaa chake kinakuwa kuzunguka mji mzima akiokota takataka.Mwingine kichaa chake kutembea uchi muda wote
Mleta mada kichaa chake kiko kwenye kuporomoshea matusi walimu
Ni kichaa kama vichaa wengine chake kiko idara ya kuporomoshea matusi walimu muda wote
Ndigu zake wampeleke Mirembe .Naongea sitanii .Huyo mleta mada ana kichaa kamili kabisa sio siri
Je picha ya Hao anaowasema umeiona?Bila picha na ivyo vitega uchumi tuvione hii comment yako Ni porojoππππππ
Huu utafiti wako ni wa uongo/wa kufikirika. Maana kama ungekuwa ni utafiti wa kweli, basi ungetuwekea na makundi ya wastaafu wengine katika jamii!Hili kundi la walimu lina changamoto kubwa sana, nyingi zinafedhehesha. Walimu wengi wanakufa kwa Kisukari na pressure baada tu ya kustafu sazingine anatembea njiani na kuongea peke ake
Nadhani kwasababu ya maisha duni waliyonayo na hofu ya kuwa jobless kwamba Sasa pesa atapata wapi kwasababu hawana maarifa ya kufanya biashara
Wengi wao ikiingia pension tu hata mwez haufiki ishateketezwa yoote, anagawia watoto million Tano Tano wanaenda mjini kuzitafuna zote mwisho watoto na baba wanakuwa vichaa wa kuomba omba
Mbaya zaidi nyumba wanajenga kwa pesa ya kustafu, huwa ujenzi hauishi wanaungaunga za tope imeisha hiyoo
Hao wastaafu mnawaona wanahangaika mtaani wakiomba omba, au wakiokota makopo na kwenda kuyauza?Kuna ukweli maana wengi wao tunawaona wanavyohangaika mtaani wanatia huruma.
Huyu mpwa ni mpuuzi 100%Huu utafiti wako ni wa uongo/wa kufikirika. Maana kama ungekuwa ni utafiti wa kweli, basi ungetuwekea na makundi ya wastaafu wengine katika jamii!
Kwa kitendo chako cha kulijadili kundi moja pekee la wastaafu (walimu), ni ushahidi tosha hii mada yako imejikita zaidi kwenye porojo/kufurahisha watu, kuliko ukweli.
Kwani pensheni zao za kila mwezi huwa hawazitolei kwenye ATM?Ila hakuna maisha magumu kama ya kustaafu
Kustaafu tu kuna kuharibu kisaikolojia
Na mlio wa ATM machine hautausikia tena
π π π π πHili kundi la walimu lina changamoto kubwa sana, nyingi zinafedhehesha. Walimu wengi wanakufa kwa Kisukari na pressure baada tu ya kustaafu sazingine anatembea njiani na kuongea peke ake
Nadhani kwasababu ya maisha duni waliyonayo na hofu ya kuwa jobless kwamba Sasa pesa atapata wapi kwasababu hawana maarifa ya kufanya biashara
Wengi wao ikiingia pension tu hata mwez haufiki ishateketezwa yoote, anagawia watoto million Tano Tano wanaenda mjini kuzitafuna zote mwisho watoto na baba wanakuwa vichaa wa kuomba omba
Mbaya zaidi nyumba wanajenga kwa pesa ya kustaafu, huwa ujenzi hauishi wanaungaunga za tope imeisha hiyoo
Hapo SasaKwani pensheni zao za kila mwezi huwa hawazitolei kwenye ATM?
Fact iko wapi? Angesema baadhi ya walimuMkuu,
Mimi Sijaona tusi lolote ambalo mpwayungu ametukana anacho kieleza mpwayungu Ni FACT
FACT inaweza kua correct or wrong tatizo lipo hapo...
Tichaaaaaa π€£Wewe mpumbavu maisha ni jinsi MTU anavyopangilia
MBNA Kuna waalimu Hao Hao miaka 5 tu kazini Wana nyumba,na baadhi ya vitega uchumi?
Hawaelewi kuwa mwalimu akistaafu kila mwezi analipwaHapo Sasa
Watu wengi Wana comment vitu hΓ’ta wasivyovijua hawajui hΓ’ta kuwa Kila mwezi wastaafu hupokea pesa wanadhani ukistaafu hakuna pesa
Mkuu unaleta janja janja= janjaweed π π π πJe picha ya Hao anaowasema umeiona?
MBNA unahamisha goli,nmekuuliza picha ya Hao wenye maisha magumu umeiona?Mkuu unaleta janja janja= janjaweed π π π π
Tichaaaa asije turushia masumbwi..Tichaaaaaa π€£
Mkuu Hali za wastaafu Ni swala mtambuka Sanaaa linaitaji mjadala mpanaa πMBNA unahamisha goli,nmekuuliza picha ya Hao wenye maisha magumu umeiona?
Walichowahi kukufanyia walimu kitakuathiri miaka yako yote.
Hata askari police,jw,zimamoto,magerezaHili kundi la walimu lina changamoto kubwa sana, nyingi zinafedhehesha. Walimu wengi wanakufa kwa Kisukari na pressure baada tu ya kustaafu sazingine anatembea njiani na kuongea peke ake
Nadhani kwasababu ya maisha duni waliyonayo na hofu ya kuwa jobless kwamba Sasa pesa atapata wapi kwasababu hawana maarifa ya kufanya biashara
Wengi wao ikiingia pension tu hata mwez haufiki ishateketezwa yoote, anagawia watoto million Tano Tano wanaenda mjini kuzitafuna zote mwisho watoto na baba wanakuwa vichaa wa kuomba omba
Mbaya zaidi nyumba wanajenga kwa pesa ya kustaafu, huwa ujenzi hauishi wanaungaunga za tope imeisha hiyoo
Tchaaa ππππFact iko wapi? Angesema baadhi ya walimu
Anaongea utafikiri ana taarifa za walimu waliostaafu wote nchi nzima.
Alichoandika ni wehu .Hizo takwimu za walimu wote nchi nzima waliostaafu alifanya lini? Hata wewe unayesema kaandika fact jitathmini uwezo wako wa akili yako