Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Kwa hayo uliyoyasema sio walim tu hata kada nyingi ni ivo ivo tunawaona mtaani huku kifupi n kwamba maisha ya mstaafu ambae n mtumishi huwa n magum kwa wote wengi wanajenga kwa hela za kustaafia mtaani huku shida walim n wengi ndo mnaona ivo pumbavu zako mtoa mada una pigo za kina juma lokole
 
Hili kundi la walimu lina changamoto kubwa sana, nyingi zinafedhehesha. Walimu wengi wanakufa kwa Kisukari na pressure baada tu ya kustafu sazingine anatembea njiani na kuongea peke ake

Nadhani kwasababu ya maisha duni waliyonayo na hofu ya kuwa jobless kwamba Sasa pesa atapata wapi kwasababu hawana maarifa ya kufanya biashara

Wengi wao ikiingia pension tu hata mwez haufiki ishateketezwa yoote, anagawia watoto million Tano Tano wanaenda mjini kuzitafuna zote mwisho watoto na baba wanakuwa vichaa wa kuomba omba

Mbaya zaidi nyumba wanajenga kwa pesa ya kustafu, huwa ujenzi hauishi wanaungaunga za tope imeisha hiyoo
Mpwa is back 😂😂😂😅😅

We miss you brother
 
Kwa hayo uliyoyasema sio walim tu hata kada nyingi ni ivo ivo tunawaona mtaani huku kifupi n kwamba maisha ya mstaafu ambae n mtumishi huwa n magum kwa wote wengi wanajenga kwa hela za kustaafia mtaani huku shida walim n wengi ndo mnaona ivo pumbavu zako mtoa mada una pigo za kina juma lokole
Jamaa Huyu ni mjinga
Hajui maisha ni jinsi MTU anavyopangilia,MBNA watumishi wengi tu wanajenga mapeema?
 
Walichowahi kukufanyia walimu kitakuathiri miaka yako yote.
Kichaa huwa kina idara mwingine kichaa chake kinakuwa kuzunguka mji mzima akiokota takataka.Mwingine kichaa chake kutembea uchi muda wote

Mleta mada kichaa chake kiko kwenye kuporomoshea matusi walimu

Ni kichaa kama vichaa wengine chake kiko idara ya kuporomoshea matusi walimu muda wote

Ndigu zake wampeleke Mirembe .Naongea sitanii .Huyo mleta mada ana kichaa kamili kabisa sio siri
 
Hili kundi la walimu lina changamoto kubwa sana, nyingi zinafedhehesha. Walimu wengi wanakufa kwa Kisukari na pressure baada tu ya kustafu sazingine anatembea njiani na kuongea peke ake

Nadhani kwasababu ya maisha duni waliyonayo na hofu ya kuwa jobless kwamba Sasa pesa atapata wapi kwasababu hawana maarifa ya kufanya biashara

Wengi wao ikiingia pension tu hata mwez haufiki ishateketezwa yoote, anagawia watoto million Tano Tano wanaenda mjini kuzitafuna zote mwisho watoto na baba wanakuwa vichaa wa kuomba omba

Mbaya zaidi nyumba wanajenga kwa pesa ya kustafu, huwa ujenzi hauishi wanaungaunga za tope imeisha hiyoo
Hatimae nimekuelewa.

Unawapenda sana walimu na mara kwa mara unajaribu kueleza chanhamoto zao.
 
Back
Top Bottom