Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Huoni aibu kusema hayo ticha ?Ngoja niendelee kuchakata mbususu mana kila mada JF ni walimu,na kazi za sensa tunafanya sisi mtake mkatae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni aibu kusema hayo ticha ?Ngoja niendelee kuchakata mbususu mana kila mada JF ni walimu,na kazi za sensa tunafanya sisi mtake mkatae
Sindoakili zaoHuoni aibu kusema hayo ticha ?
Sindoakili zao
Sio kweli, walimu wamemzidi polisi tu kwenye mshahara basi, lakini kazi yoyote ya kudumu ya serikali ukiacha polisi wote wana Mishahara kuliko mwalimu, hata mtendaji wa kijiji anapata mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa grade ANadhani mtoa post umeongea mengine ya kweli ila swala la waliofeli kuwa walimu ni uongo, mwl wa certificate lazima awe na division 1-3 , wakati nursing wanachukua mpaka division 4. Kinachogharimu sekta ya elimu ni utawala kutolipa posho zingine kama, housing, teachin, allowance n.k watumishi wengine wa umma wanalipwa posho japo mishahara yao haipishani sana na ya walimu. Posho ndio kila kitu kwa mtumishi. Kabla hujanyooshea vidole kada ya ualimu, iulize serikali walimu waliwakosea nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu hilo kweli hata hapa kijijini kwetu walimu wote ni Walevi wanazaa na Malaya wanaojiuza kwenye mabar na matahila.Kwa Kweli inashangaza sana!
Huku vijijini kazi yao kutembea na kuzaa na wanawake wauza pombe za kienyeji na kutekeleza watoto!
Kila atakapohamishiwa kikazi wanawake wao ni aina hiyo!
Wauza pombe za kienyeji!
Afu unakuta wanafunzi wanaandika madudu tuView attachment 2272032unaongekea hawa au wale wa cambridge?
Kinachoendelea sasa ni zao la NECTA 2012 baada ya standardization kufuatia kufeli CSEENatamani siku moja waalimu wasiwe wanawafuatilia watoto,, yaani wawaache tu hata wakifanya makosa
Wasi improvise kama kuna shortage ya waalimu,,, watumie dk 120 kwa wiki kufundisha kama muongozo wao unavyowataka
Wasitumie energy kubwa kufundisha,,
Wakae muda standard wa serikali kazini from saa 2-9
Wasichukue nafasi ya mzazi au mlezi,,(mind their own busines)
Wafundishe kwa pace ya syllabus zao
Wagome kufundisha kwenye mazingira hayo mabovu ya kazi waliyonayo
Wafanye hvo kwa miaka 3 mfululizo Nione nn kitatokea[emoji848][emoji848]
Sababu wameamua kuishi kwa kutetea watawala na kutegemea tenda kama uchaguzi na sensaHili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.
Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka.
Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo.
Kwa hiyo muda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia.
Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini.
View attachment 2271988
weka wazi tu kuwa hauwapendi walimu kisa walikunyoosha sehemu,Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.

Umeelezea ki hasi mno kuhusu matatizo yao. Ni wewe uwaonavyo hivyo walimu, lakini ni kada inayo heshimika sana kwa jamii. Ni msomi you ambae hakuwezeshwa na mwalimu? Hata ambae hakusoma lakini ana kumbuka jinsi mtoto wake, wa nduguye au wa jirani alie vuka kielimu, kwa kufundishwa na walimu. Usinyanyapae walimu. Ni serikali tu ambayo inawapa malipo yasio linganana na kazi yao na yasio kidhi matumizi yao.Kebehi kama zipi hizo kiongozi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona mwalimu kashika chupa ya maji ujue katoka kwenye harusi au semina,kwa mshahara upi anunue maji.
Wew ni muongo katika hiliSio kweli, walimu wamemzidi polisi tu kwenye mshahara basi, lakini kazi yoyote ya kudumu ya serikali ukiacha polisi wote wana Mishahara kuliko mwalimu, hata mtendaji wa kijiji anapata mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa grade A
Uongo wangu upo wapi hapoWew ni muongo katika hili
Mkuu unauliza walimu walichokosea ni hiki hapaNadhani mtoa post umeongea mengine ya kweli ila swala la waliofeli kuwa walimu ni uongo, mwl wa certificate lazima awe na division 1-3 , wakati nursing wanachukua mpaka division 4. Kinachogharimu sekta ya elimu ni utawala kutolipa posho zingine kama, housing, teachin, allowance n.k watumishi wengine wa umma wanalipwa posho japo mishahara yao haipishani sana na ya walimu. Posho ndio kila kitu kwa mtumishi. Kabla hujanyooshea vidole kada ya ualimu, iulize serikali walimu waliwakosea nini?
Uko kwenye mdomo wako,mikono yako na ndonga Yako.Uongo wangu upo wapi hapo