Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
We sema ulipata ngapi, hayo mambo ya sijui namba moja wilaya ni uongo tuHaina maana yyt kujibu.
Una uwezo mdogo sana kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sema ulipata ngapi, hayo mambo ya sijui namba moja wilaya ni uongo tuHaina maana yyt kujibu.
Una uwezo mdogo sana kijana
Tupo hapa kama taifa sababu ya aina ya walimu tulionao.Taifa lolote linalopuuza walimu ni taifa la watu wajinga. Mleta mada ni mjinga asiyejua hata kuandika. Someni vizuri uandishi wake mtangundua hana lolote.
F4 one.We sema ulipata ngapi, hayo mambo ya sijui namba moja wilaya ni uongo tu
Hadi hapo huna vigezo vya kuwa Mwalimu, hongera sanaF4 one.
F6 one.
UDSM engineering civil 3.9.
SEMA lingine
Karibu
Watu wa mtindo wako ndio wananifanya nianze kuamini alichoandika mtoa mada hapo.Na umelipata au unataka lingine upewe?
Safi sana chukua Pepsi kwa mangiTupo hapa kama taifa sababu ya aina ya walimu tulionao.
Tunataka wstu wakabadilikie vyuoni na kuwa na IQ kubwa wakati tokea primary, secondary walikutana na walimu vilaza.
Leo hii hatuna uthubutu wowote wa Teknolojia sababu ya msingi mbovu.
Kosa kubwa sana lililofanywa na serikali ni kukubali watu wanaofeli kwenda kuwa walimu(hili hata mama Samia alisema kule Zanzibar)
Ni kweli kabisa na wengi wanakuwa vilaza kwasababu tunafundishwa na vilazaMimi lawama nzangu nazipeleka kwa Serikali, kwanini waruhusu walio feli au walio patata alama ndogo ndiyo wawe walimu ? Hii hata akili tu ya kawaida inakataa.
Kingine, hili jambo ni Serikali tu waamue kupindua meza, waweke mishahara minono kwa Walimu na alama ziwe juu ili mtu awe mwalimu, ila sasa nawaza tatizo kwenye ualimu hakuna dili za kupiga hela ndefu, hapa sasa ndiyo kuna shida.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ni kwa sababu wao pia wanajidharaulisha mtaani.
Sasa unakuta mwalimu anadaiwa vitumbua vya elfu moja na mama ntilie miezi miwili bila kulipa
Huenda ukawa ukweli, ila amekuwa MNAFIKI.Mmeamua kufukua makaburi..ila jamaa kasema ukweli.
#MaendeleoHayanaChama
Hajitambui, anachangamsha genge tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yupo yupo kitaa kama lofa daaah
Maneno yake hayo
Halafu anasema yeye ualimu si level zake. Stress za kukaa kitaa muda mrefueti "nipo nipo kama lofa vile sina kitu"
Ungekuwa unafuatilia ule uzi wa changamoto za maombi ya ajira, jamaa alikuwa anahangaika kweli.JF hii ina vituko sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2273781
Yaani dogo basi tu amezingua sanaAsichokijua kuna mpaka namba ya simu iliyotumika baina yake na mtu mwingine, Sasa anataka tufanye jambo tule ban ila mtakaobaki mtamjua huyo mlemavu wa akili. Bahat yake sheria haziruhusu ila leo angejutia hii mada yake.
Anadhani kila mtu ana akili fupi kama zake, halafu hajui jf vizuri.Utetezi wa kiufundi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa inabidi amuone daktari wa saikolojia na Afya ya akili kwa haraka.Anadhani kila mtu ana akili fupi kama zake, halafu hajui jf vizuri.
Hapo aliomba angalau na yeye awemo kwenye the so called PDF View attachment 2275783
Div 4 ya 4m4 hawezi kwenda kusomea ualimu labda kozi zingineSo hv pale duce au mkwawa wale wanaosoma walipata dv 4,, form 4[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ninavyojuwaHili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.
Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka.
Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo.
Kwa hiyo muda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia.
Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini.
View attachment 2271988