Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #601
Hapana kashaacha hiyo kazi, Mungu yumwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kashaacha hiyo kazi, Mungu yumwema
Sawa bosiUkiona mwalimu kashika chupa ya maji ujue katoka kwenye harusi au semina,kwa mshahara upi anunue maji.
Achaa story za ulikuwa namba moja wilaya. We sema o level ulipata ngapi au advance ulipata ngapiHuu Uzi umenitoa machozi [emoji24][emoji3060][emoji3060]
niliingia ualimu nikiwa na status nakumbuka nilikuwa namba Moja kiwilaya na baadae nikawa na nafasi nzuri tu.
treatment ya watoto wasiojua Chochote iwe 'a' 'b' anaweza akasema hayo? Lkn kama ndivyo wahusika wamepata ujumbe. Lkn si kweli kwamba kada tajwa Ina watu uliowataja.
Hapo ni sawa na kusema wale mateja au machangudoa waliofeli wamepatikana kutokana na walimuPhyscians wamepatikana kutokana walimu bila walimu hakuna physcians
Bora umenisaidia, huu ukweli wanakataa na hapo ndotunapowaundermine hawa walimu kwa ubishi wa kipumbavu walionao, jitu lilifeli halafu linakataaAchaa story za ulikuwa namba moja wilaya. We sema o level ulipata ngapi au advance ulipata ngapi
Ukweli uliowazi wanaopata ufaulu hafifu ndio wanaenda kwenye ualimu
Hata mm nilimjibu hivyo hivyo Sasa lenyewe linaangalia upande mmoja wa sarafuHapo ni sawa na kusema wale mateja au machangudoa waliofeli wamepatikana kutokana na walimu
Sababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...
Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...
Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...
Haina maana yyt kujibu.Achaa story za ulikuwa namba moja wilaya. We sema o level ulipata ngapi au advance ulipata ngapi
Ukweli uliowazi wanaopata ufaulu hafifu ndio wanaenda kwenye ualimu
Umejiunga jamiiforum juzi Leo unaanza kuwa minus watu akili zao, huku sio Facebook acha uhuni wa kishambaHaina maana yyt kujibu.
Una uwezo mdogo sana kijana
Bora umenisaidia, huu ukweli wanakataa na hapo ndotunapowaundermine hawa walimu kwa ubishi wa kipumbavu walionao, jitu lilifeli halafu linakataa
Nina miaka 56 kijana. Utaalaniwa na nitakuroga uwe na uchi wa kike wenzio wakakutoboe.Umejiunga jamiiforum juzi Leo unaanza kuwa minus watu akili zao, huku sio Facebook acha uhuni wa kishamba
Majibu.......Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.
Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka.
Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo.
Kwa hiyo muda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia.
Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini.
View attachment 2271988
Leo umenikosha, point tupu umeongea. Shida ya hawa watu wanatumia na wanasiasa kwa malipo kiduchu, wanakuwa kama nyumbuMajibu.......
1. Tasnia ya Elimu nchini imeanza Kuharibiwa na Marais karibia wote ingawaje Kipindi cha Mwalimu waliheshimika kidogo.
2. Kuajiri 'Failures' hasa wa Kidato cha Nne au cha Sita nalo ni tatizo.
3. Uwezo mdogo pia wa Akili wa 85% kwani haiwezekani Mwalimu akazidiwa IQ na Wwanafunzi wake anayemfunsisha
4. Walimu wenyewe pia kukubali kutekwa na kujiingiza katika Siasa za Tanzania ambazo zina Dhuluma na Dhambi nyingi
5. Walimu wenyewe Kutojitambua na Kukubali kutumika
6. Walimu wenyewe kutokutaka Kujiimarisha zaidi Kimaarifa na hata Kielimu pia
7. Wasimamizi wao ( Mamlaka zao husika ) kutotaka Kubadilika ili kuendana na wakati kama zilivyo Tasnia nyinginezo
Unatumia kipimo gani kupimia Mwalimu comaparative na Mwanafunzi wake?Majibu.......
1. Tasnia ya Elimu nchini imeanza Kuharibiwa na Marais karibia wote ingawaje Kipindi cha Mwalimu waliheshimika kidogo.
2. Kuajiri 'Failures' hasa wa Kidato cha Nne au cha Sita nalo ni tatizo.
3. Uwezo mdogo pia wa Akili wa 85% kwani haiwezekani Mwalimu akazidiwa IQ na Wwanafunzi wake anayemfunsisha
4. Walimu wenyewe pia kukubali kutekwa na kujiingiza katika Siasa za Tanzania ambazo zina Dhuluma na Dhambi nyingi
5. Walimu wenyewe Kutojitambua na Kukubali kutumika
6. Walimu wenyewe kutokutaka Kujiimarisha zaidi Kimaarifa na hata Kielimu pia
7. Wasimamizi wao ( Mamlaka zao husika ) kutotaka Kubadilika ili kuendana na wakati kama zilivyo Tasnia nyinginezo
Natumia Kipimo Kikuu cha Upumbavu Uliokutukuka.Unatumia kipimo gani kupimia Mwalimu comaparative na Mwanafunzi wake?
Utetezi wa kiufundi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekwambia nilikuwa nawasaidia wadogo zangu kuapply ivi huelewi mkuuu??
Mkiwa wapole kama hivyo dharau hazitokwisha lazima mtu apewe disciplineAsichokijua kuna mpaka namba ya simu iliyotumika baina yake na mtu mwingine, Sasa anataka tufanye jambo tule ban ila mtakaobaki mtamjua huyo mlemavu wa akili. Bahat yake sheria haziruhusu ila leo angejutia hii mada yake.
[emoji3][emoji3] Nilitarajia hili jibu.Natumia Kipimo Kikuu cha Upumbavu Uliokutukuka.
Na umelipata au unataka lingine upewe?[emoji3][emoji3] Nilitarajia hili jibu.
Taifa lolote linalopuuza walimu ni taifa la watu wajinga. Mleta mada ni mjinga asiyejua hata kuandika. Someni vizuri uandishi wake mtangundua hana lolote.Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa Serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu.