Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Alafu najivunia mno hta nisiposhukuriwa na watu mapopoma km wew wapo wanaojua mchango tunaoutoa watashukuru inatosha tunaomba uongeze Uzi mwingine wa umalize kusema uliyosahau
Jitambueni halafu msikubali kuburuzwa
 
Sawa sasa tufeli sisi makasiriko uwe nayo wew😂😂,tumefeli lkn ninacheck nambayngu na kufeli kwangu mshahara unaingia
 
Wew mwenyew hujitambui ujasiri unautoa wapi wa kutaka walimu wajitambue shida ya kuwa jobless kuanza kuchunguza maisha ya wtu maana umeandika maelezo Hadi ynachosha huo mda uliokuwa unatumia kuchunguza upuuzi ungekuwa unakazi za kufanya usingeupata
Wewe kama una kazi mbona unatumia mda mwingi kusoma uzi na komenti, akili zenu tayari zishaanza kuonekana wazi, hamko reasonable mtashika chaki mpaka miaka 60 mkipewa kiinua mgongo kinaishia kwenye ujenzi
 
Sawa sasa tufeli sisi makasiriko uwe nayo wew[emoji23][emoji23],tumefeli lkn ninacheck nambayngu na kufeli kwangu mshahara unaingia
Mshahara ambao hata kuishi mjini huwezi, laki tano nayo pesa, hata machinga wa manzese hiyo pesa haimtoshi ndomana pesa yenu iko fixed bajeti inaishia kwenye kulisha Familia tu, nenda kidimbwi au samaki samaki ukatumie hata laki moja tuone kama siku zilizobaki utasavive bila madeni kwa mangi. Danganya wengine sio mm, nakaa na mwalimu mm nafanya biashara zangu kitaa ila kila siku analia shida namsaidia tu huku namwonea huruma maana ni kama serikali imewafanya special group mnaenda mliofeli
 
Katika utafiti wako ni kada ipi yenye watumishi wengi kati ya hizo ulizotaja?
 
Wewe kama una kazi mbona unatumia mda mwingi kusoma uzi na komenti, akili zenu tayari zishaanza kuonekana wazi, hamko reasonable mtashika chaki mpaka miaka 60 mkipewa kiinua mgongo kinaishia kwenye ujenzi
Mwalimu wa zamni unaezungumzia wew walimu wapo Wana maisha mazuri na hawako hivo unavodhani wew
Alafu nachat navopenda

Naomba wanipe nikiwa na miaka 100
Yan Ile sijiwez
Tuonyeshe iyo nyumba yako ulojenga punguza wivu tafuta kazi ufanye
 
Sasa mshahara wangu wew makasiriko ya Nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata ikiwa laki ya mwalimu sio yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Samaki samaki ya nyokwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna taifa linaloweza kusimama bila elimu bora na walimu ndiyo injini ya maarifa na ukombozi katika jamii yo yote ile.

Ningefurahi sana kama badala ya kuwasema na kuwasimanga hivi ungetoa mapendekezo ya jinsi ya kuboresha maisha yao na elimu yetu kwa ujumla. Sidhani kama matatizo yote waliyonayo ni self inflicted. Mengi ni ya kimfumo tu na yanatokana na jamii isiyojali elimu ya watu wake.

Walimu ni watu wa muhimu sana basi tu [emoji1545]
 
Kwaiyo unatka tukushauri tuache kufundisha tukauze mitumba manzese jifunze kuheshimu kazi za watu alafu unajishushia heshima Sana sijui unaona ufahari gani kila nyuzi zako kuitwa kilaza huna akili jifunze kujiheshimu jifunze kuangalia kipi unandike kipi uache unajishushia heshima Sana sema ndo tushakuwa walimu haibadilishi kitu na tutafundisha na kuuza mitumba hatuuz hta tulipwe elf 50 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hujaona solution niliyotoa? Nimesema hivi

Watu waende kusoma ualimu waliofaulu tu

Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine, mfumo wa written na oral interview upo kwenye shule za private.

Wakishafanya hayo walimu watastahiri kupewa mshahara kama kada zingine.
 
KIPATO.
Ukifunga Mithali utakutana na mstari unaosema,"Pesa ni jawabu la mambo yote"
Though walimu wa siku hizi sio kiivyo labda wa bush
 
Let me stop, I can't urgue with a foool
 
Let me stop, I can't urgue with a foool
Kaa hapohapo sijamaliza
Jifunze kujiheshimu alafu always hta vidole vya mikono havifanani na ndivyo maisha yalivyo na hta kazi hatuwez somea wote udaktari au wote tufanye biashara lazima kuwe na utofauti ili mzunguko uende sawa na tunategemeana
Walimuwengi lkn hatufanani mishahara pia hatufanani majukumu kifamilia usipende kuropoka

Unajishushia heshima kuitwa kilaza mtu mzima na ndevuzako ni aibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…