Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Nchi zilizo endelea wanaochaguliwa kwenda kusomea ualimu ni wale top cream wenye ufaulu wa kiwango cha juu sana.

Wanajua Kwa kiwango hicho kukubwa cha uelewa wataweza kuwa impact wale wataowafundisha nao wapate uelewa mkubwa wa mambo.

Kwa nchi zinazoendelea ni kinyume chake [emoji2357][emoji848][emoji848]

Kupitia huu nimewaza au ndio maana tuna tatizo la ufahamu wa mambo kwa watu wengi ikiwemo wanaosemekana kuwa wasomi ?

Mind transformation ni shida kubwa watu wana vyeti lakini kwenye utendaji na maamuzi ni shida unabaki kushikwa na butwaa !

Huenda tatizo linaanzia mbali ikiwemo kwenye namna ya kuwapa wa walimu .

Mleta mada umenifikirisha zaidi.
 
Ndio maana tuna watendaji, Viongozi wa watu maofisini n.k wa ajabu ajabu.


Ni Viongozi lakini hawataki kuulizwa maswali na kujibu kwa ufasaha.

Unakuwaje kiongozi halafu hauna utayari wa kujibu maswali , ufafanuzi na hoja za watu ?

Unakuwaje Mwalimu halafu huna utayari wa kuulizwa na kutoa majibu sahihi?

Sana Sana wakikutana na wanafunzi wadadisi badala ya kuwapenda wanawachukia na kuwawekea mabifu [emoji848][emoji848]

Yote hiyo ni ujinga na kutokujiamini na kuwa na mtazamo hasi

Mtu akiulizwa anahisi kuchoreshwa au kudharauliwa Yani ilimradi kuwa na mtazamo hasi tu,

Na ndio hao zao la Viongozi maofisini wasiotaka kuulizwa maswali ,

Kwa nini ?

Kumbe tatizo linaanzia mbali.
 
Ndio maana tuna watendaji, Viongozi wa watu maofisini n.k wa ajabu ajabu.


Ni Viongozi lakini hawataki kuulizwa maswali na kujibu kwa ufasaha.

Unakuwaje kiongozi halafu hauna utayari wa kujibu maswali , ufafanuzi na hoja za watu ?

Unakuwaje Mwalimu halafu huna utayari wa kuulizwa na kutoa majibu sahihi?

Sana Sana wakikutana na wanafunzi wadadisi badala ya kuwapenda wanawachukia na kuwawekea mabifu [emoji848][emoji848]

Yote hiyo ni ujinga na kutokujiamini na kuwa na mtazamo hasi

Mtu akiulizwa anahisi kuchoreshwa au kudharauliwa Yani ilimradi kuwa na mtazamo hasi tu,

Na ndio hao zao la Viongozi maofisini wasiotaka kuulizwa maswali ,

Kwa nini ?

Kumbe tatizo linaanzia mbali.
Tatizo lawa Tanzania hawataki kuulizwa maswali ukiwa muhulizaji unaonekana m bisbi
 
Tatizo lawa Tanzania hawataki kuulizwa maswali ukiwa muhulizaji unaonekana m bisbi
Ndowalivyo, acha wabaki na msoto waendelee kujaza madeni kwa mangi, mtumishi wa umma unanuka madeni mpaka mtoto anaeuza sambusa mitaani anakudai, ni aibu mbona sekta zingine hukuti upuuzi huu unakuta anadaiwa na benki tu ni mikopo ya heshima anakatwa kwa kadi yake ya benki. Lakini walimu wanadaiwa kwanzia na benki mpaka mchuuzi wa samaki barabarani.
 
Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.

Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.

Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.

Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.

Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,

Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaidi vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.

Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
Yaani serikali ifanyie kazi haya mawazo??,

Umeshasema kuwa walimu ni miongoni mwa watumishi wenye majukum makubwa ukilinganisha na wengine kwan wanahudumia familia zao na ndugu zao sa hapa una haja gani yakulaum kuwaona wakiwa na madeni kila Kona??

Lakini kwenye suala la uwingi wa walimu hata we ukitumia tu akili za kawaida mahitaji ya walimu kwenye nchi hii unaweza ukalinganisha na kada gani zingine kwenye utumishi?? Kwahyo una haja gani yakujiuliza juu ya uwingi wao??

Kwenye suala la mavazi hawa wako mashuleni wanatulelea watoto wetu na tunaamini kuwa ndio wanakuza nidhamu yao, sa iweje mwalim anakuza nidhamu ya mtoto alafu katuvalia mlege au kimiini mtoto ataelewa kweli??

Walimu nimiongoni mwa watumishi ambao wanajichanganya vzuri huko mtaani ukilinganisha na kada zingine za utumish kwa maana kuwa wanashiriki shughuli zingine zakijamii na ndo maana hata wao wakipatwa na Jambo jamii huwashika vzuri ukilinganisha na kada zingine huku we ndo unaita kujidharirisha??

Unasema mwalim ana IQ ndogo?? Unajua maana ya IQ lakin au unasema tu.. huyu anadeal na watoto kutwa mzima, alikupokea siku ya Kwanza ukiwa na mafua puani then umekuja kumaliza ukajua mafua ni uchafu japo unatoka mwilin mwako useme IQ yake ndogo??

Alafu mwalimu hajaajiriwa kwakuwa daraja ndogo kwenye matokeo yake ya kidato cha nne au sita, ameajiriwa kwa kuwa amefuzu na kufaulu vizur mafunzo yake ya ualimu.. hapa ndo nimeona miongon mwa watu wenye IQ ndogo kumbe nawewe upo!!

Watu kama nyinyi nitawaandikia uzi ili waJF wawe makini na mawazo yenu kwamaana yanakuwa na porojo nyinyi alafu yanagusa sehem nyeti,, yakiachwa yatapotosha wengi
 
Nikahisi ulisoma masomo ya maana kumbe ya waliokimbia physics a.k.a vichwa laini. Akili zako zinakutosha kutoa thread ya hivyo kumbe.
Kwani nikisoma advance science chuo siruhusiwi kwenda kusoma hii program?, akili zako zimelala sana wee jamaa
 
Mimi ni mwalimu professionally jua hilo kwanza, lakin ninauwezo wa kukupa ajira hata wewe na nikakulipa mshara mzuri tu kuliko hicho kibarua chako kinacho kupa dharau ,

usiishi kwa kukariri mzee kama unaishi na mwalimu wa aina hiyo basi muheshimu tuu maana kuna watu kupitia yeye ni marais watarajiwa ,mawaziri watarajiwa na ni waheshimiwa wa baadae muheshimu tu ilimradi wapo wanao subiri kielimika kupitia yeye.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ndomawazo yenu, unapata msoto huku una ndoto za urais, Rais mmoja kwenye nchi walimu wapo zaidi ya laki mbili nchini unaleta ndoto za kipuuzi
 
Halafu nadhani mleta mada ametuletea tabia mbaya ya mwalimu jirani yake au baba yake halafu anatuaminisha kuwa walimu wote wako hivyo.
maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Kama walimu wako hivi wanastahili pongezi,sio wengi wenye mioyo ya huruma ya kujali familia.
Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli
Nadhani tatizo lako limeanzia hapa. Chuki yako na walimu ilianzia darasani.
 
Halafu nadhani mleta mada ametuletea tabia mbaya ya mwalimu jirani yake au baba yake halafu anatuaminisha kuwa walimu wote wako hivyo.

Kama walimu wako hivi wanastahili pongezi,sio wengi wenye mioyo ya huruma ya kujali familia.

Nadhani tatizo lako limeanzia hapa. Chuki yako na walimu ilianzia darasani.
Shida mnaenda mliofeli.
Screenshot_20220626-065537_1.jpg
Screenshot_20220626-065619.jpg
 
Hata adhabu wanazotoa zinaashilia kiwango chao cha uelewa niwabaguzi kwa wanafunzi kisa wanabaguliwa mitaani.
1656215902205.jpg
 
Kipato ndio kipimo cha heshima.

Nachoshangaa ni watanzania, kwanini tumekuwa political cheapest? Nikiangalia watu wa mtindo wako, roho inaniuma sana, wengi husema Ualimu wanaenda Div 4, as if ukienda na div. 1 unakataliwa, hakuna nchi ulimwenguni ambayo walimu wake hawajawahi kupitia nyakati kama hizi.

Samia kaizungumza kauli kama ile watu wanamuunga mkono, kwa sababu Watanzania wengi wanahoji, kwa kuwa mmekuwa kama upepo? Mkaifuata.

Mimi ni Mwalimu, professionally, ni kweli kipato chetu ni kidogo in comparison to vocation, ikiwa una akili timamu, ama una uelewa hata wa 30% kuhusu GDP, GNI and GPP (Economy's measures) utafahamu kabisa, ka nchi kama haka hakana hizo hela za kulipa walimu, ukweli ni kwamba, mnapelekeshwa kisiasa, na mnaenda.

Rejea, 5 Years Education Plan 1962-1967
MUSOMA DECLARATION 1974
Education Policy ya mwaka 1995 na 2000

Utajua imekuwaje leo mpaka hali ya walimu iwe hivi.

BTW; huwa nawasikitikia sana Watanzania wenzangu, for you don't know what you're doing
 
Back
Top Bottom