Kwa sababu ualimu ni kazi yenye laana.CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.sawa k
Siyo wanasiasa, ni serikali, baada ya kuona imevuruga mifuko ya hifadhi ya jamii, ili wafanyakazi wasiwe na nguvu ya kudai fedha zao,iliamua kuweka watu wake ili wawe viongozi ili wakubali kikokotoo!Kwa sababu ualimu ni kazi yenye laana.
wanatafuta uungwaji mkono.CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
Hadi TLS kipindi cha Lisu walipoamua kujivua koti la serikali kwa nguvu, serikali ikaamua kumwandalia tukio! Ila kwa vyama vya wafanyakazi, madhara yake ni makubwa sana! Bila udhaifu wa vyama vya wafanyakazi, serikali isingefikiria kuanzisha kikokotoo! Moto ungeanzia hukohuko kwenye vikao vyao!Si vyama vya wafanyakazi pekee vinavyoingiliwa na dola. Dola hujipenyeza kwenye kila taasisi iwe ya michezo, sanaa, habari, asasi za kiraia n.k. hata kwenye uchaguzi wa askofu mkuu wa kanisa fulani kubwa dola lazima iingie
Ndio maana mfanyakazi akistaafu husumbuka sana kupata mafao yake. Lakini wanasiasa hulipwa haraka wanapostaafu.Siyo wanasiasa, ni serikali, baada ya kuona imevuruga mifuko ya hifadhi ya jamii, ili wafanyakazi wasiwe na nguvu ya kudai fedha zao,iliamua kuweka watu wake ili wawe viongozi ili wakubali kikokotoo!
Ni hadi siku watumishi watakapojitbua! Vya vya wafanyakazi vimetekwa na TISS, serikali inakaa mezani na watu wake kufanya maamuzi kuhusu maslahi ya watumishi!
Hii ni ishara ya kutojiani na kutaka kuvuruga chaguzi zingine kama zinavyovurugwa chaguzi za Viongozi wa kitaifa.Si vyama vya wafanyakazi pekee vinavyoingiliwa na dola. Dola hujipenyeza kwenye kila taasisi iwe ya michezo, sanaa, habari, asasi za kiraia n.k. hata kwenye uchaguzi wa askofu mkuu wa kanisa fulani kubwa dola lazima iingie
TLS haiingiliwi na serikali??Kwa sababu ualimu ni kazi yenye laana.