miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
- Thread starter
-
- #61
Hahahaha miye winga ndugu na at times deffensive midle. Hahahahkudadadeki...hapa nimepata mke. ebwana mie sio mpenzi sana wa matimu. nilikuwa mpenzi wa italy lakini baada ya lile goli la trezeque euro 2000 niliachaga ushabiki. sasa mie ni nafuatilia sana kazi za makocha ....ni mpenzi sana wa makocha wakitaliano maximilliona allegri, gian piero gasperini kocha wa atlanta na the great Sacchi.
wewe ulikuwa unapiga position gani huko shule? mie nilikuwa fundi mwenyewe namba 8 hahahaha
Hahaha kwann tusiwe wachambuziNawakubali sana wanawake wapenda soka, ila wasiwe deep kwenye uchambuzi kama Garry Neville..... Hapo nitarudi nyuma kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha polen sana. Yule si ana miguu mitatu?Yani hapo kinachoumiza ni kuwa unanidhihilishia kbsa kuwa umekuwa na mm by chance, yani ikitokea CR7 akasema hebu njoo nikutumie chap harafu urudi kwa bwanaako unakubali kiukweli haitubariki kbsa hyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona umenitisha sasa ...winger tena kwa hiyo wewe mbio unazo hatari sasa hiyo mechi ya six by six tutakuwa twafukuzana tena hahahaha. defensive midfielder...kha kweli wewe mpenzi mpaka terminologies zote wazijua, ngoja nikupigie debe upwe twiga stars ukawanoe warembo.
Hahahahaha hongera kibao kwa mama saleheJana mama swalehe alinambia tuweke gg mechi ya man u kwa laki mbili all in all tukashinda [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi sio mbaya.
Hahajaja miye huko sipo tena. Nina maisha aisee. Na nisingecheza. Hata ingekuaje. Ingekua tu kama hobby zingine. Nina maisha nje ya soka
Sent using Jamii Forums mobile app
James= James GarnerUchambuzi sio mbaya.
Usiwe deep sana best.
Yaani hata nikikuuliza kuhusu Mason Greenwood, James, Tahit Chong, Column Griblin, DJ Bufonge wote unawajua kwa kina [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anajua mpira kwa kiasi chake ...
Hahahaja anakuzingua kwenye nnHuyu anajua mpira kwa kiasi chake ...
Ila ana nisumbua sumbuaga sana
I dont like sometimes ila nnavungaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mbuzi mwenye smart phone ama accesa na jf. Jifanye unajikuna[emoji23][emoji23]Mbuzi yeyote aikandie Arsenal.
mara ooh leo sikupi kisa timu yake arsenal imefungwa !! [emoji14]
Hahahahahaha sawa mzee baba. Hatutakua deepUchambuzi sio mbaya.
Usiwe deep sana best.
Yaani hata nikikuuliza kuhusu Mason Greenwood, James, Tahit Chong, Column Griblin, DJ Bufonge wote unawajua kwa kina [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah, we angalizia hukohuko lwako tuu[emoji23][emoji23] kila mtu aangalizie kwakeah wewe sio ucheze wewe unakuwa kocha. ila kweli nimeamini unapenda fabo. itabodi siku tukacheki mechi pamoja.
mara ooh leo sikupi kisa timu yake arsenal imefungwa !! [emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpenzi wa club fulani haikuweki wewe kwenye position ya kuwa na akili kuliko wengine. Ni mapenzi ya dhati na ya ukweli.Unashangilia timu gani kwanza bongo na ulaya? ndio nijue kama una akili
Sent using Jamii Forums mobile app