Yaweza kuwa hao wanyama, wanweza wahudumia watoto waoAngalia hata wanyama wengine (katika Animal Kingdom) ni wangapi ambapo Male ndio anatunza ? - Natural way of things
Shida sio kukaa nae, tatizo linaanza pale unapoona mwanao ndio chanzo cha mapato.Najiona kabisa siwezi katuu kuishi mbali na mtoto wangu.
Yaani niishi nyumba A mtoto wangu nyumba B kivipi yaani??
Je huduma ni Financially Pekee ? Je hizo pesa na matumizi hayawezi yakatumwa sehemu mama alipo ? Sababu kama hataki kutuma sehemu alipo mama je wakiwa karibu atatuma ?Yaweza kuwa hao wanyama, wanweza wahudumia watoto wao
Unalinganisha maisha ya wanyama hayawani na binadamu ?Angalia hata wanyama wengine (katika Animal Kingdom) ni wangapi ambapo Male ndio anatunza ? - Natural way of things
Hujui kwamba Binadamu ni Mnyama ? Au unadhani ni Mmea ?Unalinganisha maisha ya wanyama hawani na binadamu ?
😂😂😂😂 huu mfanano ni hapa tUuh, ila likija suala lingine mnakataa. LolHujui kwamba Binadamu ni Mnyama ? Au unadhani ni Mmea ?
Kuwapikia, kuwafulia, kuwaogesha, kusafisha nyumba wakichafua, kufua nguo zenye pupu unaweza??Shida sio kukaa nae, tatizo linaanza pale unapoona mwanao ndio chanzo cha mapato.
🤝🤝🤝 thread ifungwe, mwenye uzi apewe ugali mkubwa kama chakula na ugali mdogo uwe mboga.Jogoo atembei na vifaranga
Ukijua hili utopata shida
Uzi uishie hapa,hii ndio sababu kuu kwa wengi,kuwatumia watoto kama chanzo cha mapato.Shida sio kukaa nae, tatizo linaanza pale unapoona mwanao ndio chanzo cha mapato.
Binadamu kuwa mnyama ( Animal kingdom ) kunamfanya matendo yake afanane na wanyama wengine ambao ni hayawani ?Hujui kwamba Binadamu ni Mnyama ? Au unadhani ni Mmea ?