Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja.

Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye maringo, alikuwa akilalamika kiwa baba mtoto wake hatoi pesa ya kutosha mahitaji ya mtoto wao hali ya kuwa jamaa ana kazi yenye kipato kizuri. Mimi nikamwambia sasa kama wewe unaona huwezi kumuhudumia mtoto si umpeleke kwa baba yake. Mrembo kajibu kwamba wanaume hawajui kulea watoto.

Kesi kama hizi zimekuwa zikitaradadi katika siku za hivi karibuni.

Hivi ni kweli wanaume hatujui kutunza watoto vizuri au kuna sababu nyingine ambazo zipo nyuma ya wanawake kung'ang'ania kubaki na watoto hali ya kuwa hawana uwezo wa kuwahudumi
Wenye kwenye hili naombeni mawazo yenu...

#If you say yes, am here to stay.
Mi wangu alijitia ujuaji nikampa alee aisee, nikafunga roho, mbona analea tu vzr kama mama!
 
Binadamu kuwa mnyama ( Animal kingdom ) kunamfanya matendo yake afanane na wanyama wengine ambao ni hayawani ?
Aisee !!!!!

Characteristics zinafanana na hata mleta uzi ameongea kwanini wana-ngangania kabla hata zijaenda deep kuelezea faida zake utaona tu kwamba hii trait hata wanyama wengine wanayo ya mama kuwa karibu na offsprings wake (that is nature)...

Mbili kuna vitu vinahitaji proximity (mapenzi ya mama na huduma za mama haziwezi kutumwa kwenye Mpesa) wakati pesa inatumwa

Tatu consicious (Uchungu wa Mwana anaujua Mzazi) pigo la mtoto au wellbeing ya mtoto mara nyingi (on average) ina-muaffect mama kuliko baba - That's the way it is....
 
😂😂😂😂 huu mfanano ni hapa tUuh, ila likija suala lingine mnakataa. Lol
Characteristically sisi na our fellows (wanyama wengine) ni mengi tu tunafanana..., ingawa kuna hili moja nadhani analo Binadamu pekee hata Mark Twain aliona....
'Of all the animals, man is the only one that is cruel. He is the only one that inflicts pain for the pleasure of doing it.'

Case in Point hata humu watu wapo radhi sababu mwenzake kamwaga mboga yeye amwage ugali yaani sababu kwenye laki anayotuma mama anaweza akachukua 50 kununua Poda.., yupo radhi asitume ili hata mtoto akose soksi....
 
Mwanangu halelew na mama wa kambo labda niwe mfu au et msichana wa kazi hapana Kwa kwel Kwan shida IPO wap kama unazaa na mwanamke asiye na maadili eeh na watoto wakilelewa na huyo mama watafata malez yake Hilo halipingiki tunaona sana huku mitaan zaen na watu wenye akili timamu hata ukisema watoto wako Kwa mama Yao unakua na aman
 
Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja.

Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye maringo, alikuwa akilalamika kiwa baba mtoto wake hatoi pesa ya kutosha mahitaji ya mtoto wao hali ya kuwa jamaa ana kazi yenye kipato kizuri. Mimi nikamwambia sasa kama wewe unaona huwezi kumuhudumia mtoto si umpeleke kwa baba yake. Mrembo kajibu kwamba wanaume hawajui kulea watoto.

Kesi kama hizi zimekuwa zikitaradadi katika siku za hivi karibuni.

Hivi ni kweli wanaume hatujui kutunza watoto vizuri au kuna sababu nyingine ambazo zipo nyuma ya wanawake kung'ang'ania kubaki na watoto hali ya kuwa hawana uwezo wa kuwahudumia?
Wenye ujuzi kwenye hili naombeni mawazo yenu...

#If you say yes, am here to stay.
Hebu tafakari kidogo, umesikia kesi ngapi za watoto kuteswa na baba wa kambo dhidi ya mama wa kambo? Wanawake wanajijua sana walivyo na wanajua vizuri kuwa kumuacha mtoto akalelewe na mama wa kambo ni hatari tupu.
 
Usimtumie hela ya matumizi na akilalamika mwambie amlete kwa baba yake

90% ukaaa na watoto Kama kupata pesa

10% ni mapenzi

Ila watoto wa single mother ni takataka means hawana uwezo wa kulea mtoto vizuri .

Wengi huwaacha watoto usiku na kwenda kudanga .

Naongea Kama Kijana niliyeitia the same shit .
 
Je huduma ni Financially Pekee ? Je hizo pesa na matumizi hayawezi yakatumwa sehemu mama alipo ? Sababu kama hataki kutuma sehemu alipo mama je wakiwa karibu atatuma ?

Ukizingatia mama ana attachment kwa watoto kuliko baba (on average); Kwahio huenda huyu mama bila watoto karibu yake asipate usingizi wakati baba wala asikose lepe la usingizi...

Ushauri kwa wenye watoto nje kama uwezo upo nyie toeni tu matumizi within reason (at least consciously utaona umefanya your part sio baadae ukaja kujilaumu au kulaumiwa kwamba hata haukunisomesha....


View: https://youtu.be/_cim7dsia6Q?si=h-BUfjpCFt3EkH97

Haijalishi, ila mara nyingi pia watoto huishia kutelekezwa kwa bibi zao,
 
Wanajijua jinsi walivyo na roho mbaya kwa watoto wa wanawake wenzao, hivyo wanajua fika baba yao akioa mke mwingine watasota na yeye huko anakoenda akikuta mumewe anawatoto atawasotesha.
 
Sasa si bora akae kwa bibi upande wa baba.
Huo ni Uchaguzi baina ya mama wa mtoto, baba na mabibi zao (na babu pia sababu anatoa matumizi) Kwa ufupi ni kwamba Mama yoyote mwenye akili timamu na motherly instincts want what is better kwa mtoto wake....

Hata wale wanaotupa watoto mfano kwenye kanisa wanafanya hivyo wakijua kwamba huenda huko akapata what is better kwa mtoto kuliko what they can provide (na wakifanya hivyo roho uwasuta maisha yao yote) ; Ni rahisi kwa baba kusahau mtoto kuliko mama (angalia hata wanyama wanavyokuwa wakali ukisogelea makinda yao) - Nadhani hii ni animal instinct ya kusaidia safety ya mtoto
 
Wako sahihi, atakua mwanamke mpumbavu pekee mwenye akili ya kuku wa mayai anaetaga na kuacha kuatamia.
 
Back
Top Bottom