Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja.

Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye maringo, alikuwa akilalamika kiwa baba mtoto wake hatoi pesa ya kutosha mahitaji ya mtoto wao hali ya kuwa jamaa ana kazi yenye kipato kizuri. Mimi nikamwambia sasa kama wewe unaona huwezi kumuhudumia mtoto si umpeleke kwa baba yake. Mrembo kajibu kwamba wanaume hawajui kulea watoto.

Kesi kama hizi zimekuwa zikitaradadi katika siku za hivi karibuni.

Hivi ni kweli wanaume hatujui kutunza watoto vizuri au kuna sababu nyingine ambazo zipo nyuma ya wanawake kung'ang'ania kubaki na watoto hali ya kuwa hawana uwezo wa kuwahudumia?
Wenye ujuzi kwenye hili naombeni mawazo yenu...

#If you say yes, am here to stay.
Nguvu ya mamba ni maji
 
Ni kwa sababu ndiyo waliowazaa, kuwanyonyesha na kuwaandaa tofauti na sisi tuliowazalisha. Simpo.
 
Nyuma ya malezi kuna ajenda ya kupoison mtoto kifikra juu ya baba
Wanawake wengi ni washenzi wanapoachana na wanaume huanza kupanda mbegu ya chuki kwa watoto kwa hali na mali kiasi siku baba ukipewa au watoto wakiruhusiwa kukaa nawe wanakuwa ni maadui zako na hadi kuja kukuelewa inakuwa ngumu kama sio muda mrefu
 
Ili wawatumie watoto kama chanzo cha kipato kutoka kwa aliyezaa nae😎
Ngoja tupige hesabu ya haraka haraka tuseme wewe upewe mtoto wa kulea (baby sitter) ; unadhani ni kiasi gani fair kwa Tanzania kwa siku ? At a minimum ? Au tuache mambo ya chakula kwamba atamaliza; vipi shule, nguo na mahitaji ya shule (sababu nadhani kama ukichangia huku kwenye shule fully, bado akidai na sukari wakati na yeye anafanya kazi na anajua na wewe sio kwamba unaziokota atakuwa ana lake jambo)

Haya mambo inabidi kuyaangalia pande zote na binafsi nadhani mama ni perfect kutunza mtoto (sasa ikija kiwango) inabidi muishi according to your means (baba uchangie kadri unavyoweza) kwa mama kukutunzia damu yako
 
Sijapinga mwanamke kutaka pesa za matunzo ya mtoto, tatizo wengi wao wanawatumia hao watoto kama chanzo cha mapato na ukitaka kuamini hilo mchukue huyo mtoto hata kwa wiki tuu ndo utaamini
 
Issue ni kwamba mkishakosana mnataka kukomoana; lakini statement ya kwamba mtoto anaweza kuwa chanzo cha mapato (unless kuna wale wanakutega ili kuwaoa / kuwazalisha ili mtoto kupata a good standing - kama ilivyo mnyama anachagua jogoo mzuri (security) kwa ajili ya watoto wake (good genes n.k.) ) na hii ilikuwa zaidi zamani na sio majority

In short mtoto hawezi kuwa chanzo cha mapato in it and by itself (sababu malezi ni gharama zaidi ya pesa zozote unazoweza kupata au kutoa) ingekuwa watoto wanalipa basi wanawake wangekuwa wana watoto mamilioni kama vile mfugaji wa ng'ombe anavyohesabu mifugo yake....

Nikirudi kwenye point ya kukomoana (kama ulimuacha usitegemee atakufurahia) kwahio zile hasira atataka akuumize kila akipata opportunity (Hell has no Fury like a Woman Scorned); Lakini ukitoa Ada (masomo ambayo ndio gharama kubwa) sidhani kama utalaumiwa sana na jamii sababu hata kama ameshaolewa tena na kule kuna watoto wengine wewe kumpelekea mtoto wako viatu wakati wengine kule wanatembea peku sidhani kama itakuwa unaitendea haki hio familia (kuonyesha kwamba kaka yao / dada yao) ni tofauti na wao....; Ndio maana kama umeachana na EX wako vizuri usishangae kama umepigika ukamuomba msaada na akakupa pesa au kukukopea Vikoba (women are creatures of Love and there is a very thin Line between Love and Hate) - Na Action and Reaction are equal and Opposite ukija kwa mabavu utaambulia za Mbavu....

In short malezi yanahitaji busara sana ya pande zote.
 
Kamba ya kukuvuta ukiwa mbali kama hivi pichan lazima ujirejeshe ukapige hata kimoja dar mwanza
 
Attachments

  • image_search_1760781999473.jpg
    image_search_1760781999473.jpg
    23.4 KB · Views: 25
Nyuma ya malezi kuna ajenda ya kupoison mtoto kifikra juu ya baba
Wanawake wengi ni washenzi wanapoachana na wanaume huanza kupanda mbegu ya chuki kwa watoto kwa hali na mali kiasi siku baba ukipewa au watoto wakiruhusiwa kukaa nawe wanakuwa ni maadui zako na hadi kuja kukuelewa inakuwa ngumu kama sio muda mrefu
Hili nimelishuhudia kiana
 
Back
Top Bottom