The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kuna wanawake wengine wao wenyewe wanahitaji walezi,sio kila mwanamke ni mlezi,kuna wababa wanalea watoto wao malezi bora kuliko wamama,By nature mama ndio mlezi
Mi wangu alijitia ujuaji nikampa alee aisee, nikafunga roho, mbona analea tu vzr kama mama!Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja.
Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye maringo, alikuwa akilalamika kiwa baba mtoto wake hatoi pesa ya kutosha mahitaji ya mtoto wao hali ya kuwa jamaa ana kazi yenye kipato kizuri. Mimi nikamwambia sasa kama wewe unaona huwezi kumuhudumia mtoto si umpeleke kwa baba yake. Mrembo kajibu kwamba wanaume hawajui kulea watoto.
Kesi kama hizi zimekuwa zikitaradadi katika siku za hivi karibuni.
Hivi ni kweli wanaume hatujui kutunza watoto vizuri au kuna sababu nyingine ambazo zipo nyuma ya wanawake kung'ang'ania kubaki na watoto hali ya kuwa hawana uwezo wa kuwahudumi
Wenye kwenye hili naombeni mawazo yenu...
#If you say yes, am here to stay.
Sikuiz bora mtoto alelewe na mwanaume mzeeMwanamme na kulea watoto wapi na wapi?
Hii ndio sababu kuu hasa,Ili wawatumie watoto kama chanzo cha kipato kutoka kwa aliyezaa nae😎
Aisee !!!!!Binadamu kuwa mnyama ( Animal kingdom ) kunamfanya matendo yake afanane na wanyama wengine ambao ni hayawani ?
Characteristically sisi na our fellows (wanyama wengine) ni mengi tu tunafanana..., ingawa kuna hili moja nadhani analo Binadamu pekee hata Mark Twain aliona....😂😂😂😂 huu mfanano ni hapa tUuh, ila likija suala lingine mnakataa. Lol
Vipi kama umezaa na jobless...?Hii ndio sababu kuu hasa,
Zingine ni kiongezeo tu.
Hebu tafakari kidogo, umesikia kesi ngapi za watoto kuteswa na baba wa kambo dhidi ya mama wa kambo? Wanawake wanajijua sana walivyo na wanajua vizuri kuwa kumuacha mtoto akalelewe na mama wa kambo ni hatari tupu.Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja.
Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye maringo, alikuwa akilalamika kiwa baba mtoto wake hatoi pesa ya kutosha mahitaji ya mtoto wao hali ya kuwa jamaa ana kazi yenye kipato kizuri. Mimi nikamwambia sasa kama wewe unaona huwezi kumuhudumia mtoto si umpeleke kwa baba yake. Mrembo kajibu kwamba wanaume hawajui kulea watoto.
Kesi kama hizi zimekuwa zikitaradadi katika siku za hivi karibuni.
Hivi ni kweli wanaume hatujui kutunza watoto vizuri au kuna sababu nyingine ambazo zipo nyuma ya wanawake kung'ang'ania kubaki na watoto hali ya kuwa hawana uwezo wa kuwahudumia?
Wenye ujuzi kwenye hili naombeni mawazo yenu...
#If you say yes, am here to stay.
Hili swali ungewalenga wamama ndio linawahusu zaidi.Vipi kama umezaa na jobless...?
Haijalishi, ila mara nyingi pia watoto huishia kutelekezwa kwa bibi zao,Je huduma ni Financially Pekee ? Je hizo pesa na matumizi hayawezi yakatumwa sehemu mama alipo ? Sababu kama hataki kutuma sehemu alipo mama je wakiwa karibu atatuma ?
Ukizingatia mama ana attachment kwa watoto kuliko baba (on average); Kwahio huenda huyu mama bila watoto karibu yake asipate usingizi wakati baba wala asikose lepe la usingizi...
Ushauri kwa wenye watoto nje kama uwezo upo nyie toeni tu matumizi within reason (at least consciously utaona umefanya your part sio baadae ukaja kujilaumu au kulaumiwa kwamba hata haukunisomesha....
View: https://youtu.be/_cim7dsia6Q?si=h-BUfjpCFt3EkH97
Bibi pia ni mama (motherly instinct) au ulitaka kusema Babu ?!!!!Haijalishi, ila mara nyingi pia watoto huishia kutelekezwa kwa bibi zao,
Sasa si bora akae kwa bibi upande wa baba.Bibi pia ni mama (motherly instinct) au ulitaka kusema Babu ?!!!!
Huo ni Uchaguzi baina ya mama wa mtoto, baba na mabibi zao (na babu pia sababu anatoa matumizi) Kwa ufupi ni kwamba Mama yoyote mwenye akili timamu na motherly instincts want what is better kwa mtoto wake....Sasa si bora akae kwa bibi upande wa baba.