Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Nguvu ya mamba ni majiKwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja.
Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye maringo, alikuwa akilalamika kiwa baba mtoto wake hatoi pesa ya kutosha mahitaji ya mtoto wao hali ya kuwa jamaa ana kazi yenye kipato kizuri. Mimi nikamwambia sasa kama wewe unaona huwezi kumuhudumia mtoto si umpeleke kwa baba yake. Mrembo kajibu kwamba wanaume hawajui kulea watoto.
Kesi kama hizi zimekuwa zikitaradadi katika siku za hivi karibuni.
Hivi ni kweli wanaume hatujui kutunza watoto vizuri au kuna sababu nyingine ambazo zipo nyuma ya wanawake kung'ang'ania kubaki na watoto hali ya kuwa hawana uwezo wa kuwahudumia?
Wenye ujuzi kwenye hili naombeni mawazo yenu...
#If you say yes, am here to stay.
Ni kwa sababu ndiyo waliowazaa, kuwanyonyesha na kuwaandaa tofauti na sisi tuliowazalisha. Simpo.Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja.
Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye maringo, alikuwa akilalamika kiwa baba mtoto wake hatoi pesa ya kutosha mahitaji ya mtoto wao hali ya kuwa jamaa ana kazi yenye kipato kizuri. Mimi nikamwambia sasa kama wewe unaona huwezi kumuhudumia mtoto si umpeleke kwa baba yake. Mrembo kajibu kwamba wanaume hawajui kulea watoto.
Kesi kama hizi zimekuwa zikitaradadi katika siku za hivi karibuni.
Hivi ni kweli wanaume hatujui kutunza watoto vizuri au kuna sababu nyingine ambazo zipo nyuma ya wanawake kung'ang'ania kubaki na watoto hali ya kuwa hawana uwezo wa kuwahudumia?
Wenye ujuzi kwenye hili naombeni mawazo yenu...
#If you say yes, am here to stay.
Inawezekana sana.Mwanamme na kulea watoto wapi na wapi?
Kea hawa wakina dada sa sasa kizazi cha sasa hivi kama mwanaume una nafasi chukua mtoto wako tu umlee mwenyeweBy nature mama ndio mlezi
Ngoja tupige hesabu ya haraka haraka tuseme wewe upewe mtoto wa kulea (baby sitter) ; unadhani ni kiasi gani fair kwa Tanzania kwa siku ? At a minimum ? Au tuache mambo ya chakula kwamba atamaliza; vipi shule, nguo na mahitaji ya shule (sababu nadhani kama ukichangia huku kwenye shule fully, bado akidai na sukari wakati na yeye anafanya kazi na anajua na wewe sio kwamba unaziokota atakuwa ana lake jambo)Ili wawatumie watoto kama chanzo cha kipato kutoka kwa aliyezaa nae😎
Sijapinga mwanamke kutaka pesa za matunzo ya mtoto, tatizo wengi wao wanawatumia hao watoto kama chanzo cha mapato na ukitaka kuamini hilo mchukue huyo mtoto hata kwa wiki tuu ndo utaaminiNgoja tupige hesabu ya haraka haraka tuseme wewe upewe mtoto wa kulea (baby sitter) ; unadhani ni kiasi gani fair kwa Tanzania kwa siku ? At a minimum ? Au tuache mambo ya chakula kwamba atamaliza; vipi shule, nguo na mahitaji ya shule (sababu nadhani kama ukichangia huku kwenye shule fully, bado akidai na sukari wakati na yeye anafanya kazi na anajua na wewe sio kwamba unaziokota atakuwa ana lake jambo)
Haya mambo inabidi kuyaangalia pande zote na binafsi nadhani mama ni perfect kutunza mtoto (sasa ikija kiwango) inabidi muishi according to your means (baba uchangie kadri unavyoweza) kwa mama kukutunzia damu yako
Issue ni kwamba mkishakosana mnataka kukomoana; lakini statement ya kwamba mtoto anaweza kuwa chanzo cha mapato (unless kuna wale wanakutega ili kuwaoa / kuwazalisha ili mtoto kupata a good standing - kama ilivyo mnyama anachagua jogoo mzuri (security) kwa ajili ya watoto wake (good genes n.k.) ) na hii ilikuwa zaidi zamani na sio majoritySijapinga mwanamke kutaka pesa za matunzo ya mtoto, tatizo wengi wao wanawatumia hao watoto kama chanzo cha mapato na ukitaka kuamini hilo mchukue huyo mtoto hata kwa wiki tuu ndo utaamini
Ukimaanisha nini kiongoziNguvu ya mamba ni maji
Hili nimelishuhudia kianaNyuma ya malezi kuna ajenda ya kupoison mtoto kifikra juu ya baba
Wanawake wengi ni washenzi wanapoachana na wanaume huanza kupanda mbegu ya chuki kwa watoto kwa hali na mali kiasi siku baba ukipewa au watoto wakiruhusiwa kukaa nawe wanakuwa ni maadui zako na hadi kuja kukuelewa inakuwa ngumu kama sio muda mrefu