Ushetani wa wanawake kutokujua mipaka yao ktk ndoa ama niniUshetani tu unawasumbua...mwanaume ni kichwa au msingi ktk nyumba...
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...Ushetani wa wanawake kutokujua mipaka yao ktk ndoa ama nini
Umenifurahisha sana kwa hekima zako wanawake wachache sana kwa sasa wenye uelewa wa namna hii,Bila shaka utakuwa umetoka familia inayoeleweka, Agizia soda hapo kwa Mangi ntalipaKatika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Asante mkuu...neno la Mungu...ndio limeniongoza na kutambua hayo...maana neno la Bwana...ni taa na mwangaUmenifurahisha sana kwa hekima zako wanawake wachache sana kwa sasa wenye uelewa wa namna hii,Bila shaka utakuwa umetoka familia inayoeleweka, Agizia soda hapo kwa Mangi ntalipa
Wallah imerudi... Welcome mdadaUshetani tu unawasumbua...mwanaume ni kichwa au msingi ktk nyumba...
Asante!Wallah imerudi... Welcome mdada
Na ukute awe anamzidi mumewe SASA..!!!! AtajutaKatika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Ni ukweli kbs mkuuAsante mkuu...neno la Mungu...ndio limeniongoza na kutambua hayo...maana neno la Bwana...ni taa na mwanga
Hapa sasa dharau zinazidi...yani mwanaume atageuzwa mwanamke...Na ukute awe anamzidi mumewe SASA..!!!! Atajuta
Ivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,
Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji
Ivi tatizo ni nini mpka iwee iviii
Ningekunyoosha.....Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
πππNingekunyoosha.....