Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Umeongea jambo la maana sana, wanawake weng sku hizi wanakuwa wajeuri kwa kuwa wanadhan kazi na elimu zao ni fimbo ya kubadili nature yao... huwez pambana na nature bila kupata madhara
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
 
Ivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Ivi tatizo ni nini mpka iwee iviii
kutokana na mwanaume mwenyewe ulivyo...wewe njoo kanda ya ziwa huku uone kama kuna mwanamke anarefusha mdomo kuingilia mambo yasiyikuwa yake
 
Ila sometimes wanaume tunakosea pia. Unatakiwa uanze kumkunja mwanamke tangu mkiwa kwenye uchumba, hakikisha haupotezi hata point moja. Ukimzoeza tofauti wakati wa uchumba lazima akupande kichwani.

Kuna jamaa yangu nilitaka kumzaba kofi. Eti mke wake anamfokea zaidi ya mara tatu mbele yangu, na kalimchenjia haswa na mwanaume alinywea kichizi. Pale familia haiwezi kwenda.

Ndoa nyingi zenye maisha mazuri lazima mwanamke ashuke chini na mwanaume awe muelewa pindi mke anaposhuka chini. Na pia mwanaume hafokewi hata kama makosa ni yake.
 
Tatizo linaanzia kwako mwenyewe.
Ukiona yeye kaanza kushika usukani na kuota mapembe jichunguze.

Na kuna ile "kama kusoma na mimi nimesoma."
Hiyo kauli ya mwishi ni tatizo tasilimu. Ukilifanya kosa la kumuoa mwanamke aliyekuzidi au mliye sawa kielimu au kipato, basi tafuta namna ya kuishi naye ili ndoa idumu.
 
Yaani omba tu ajitambue kuwa yeye yu mwanamke. Hata apate nini haibadilishi kitu mtafika.

Wapo walio oa wanawake wamewazidi kila kitu na ndoa inasonga.
Shida huja ukishakuwa na mwanamke kakuzidi automatic unakosa kujiamini. Ndio maana wanaume wengi tunawakimbia.
Vitabu vimeandika "Mwanamke na amuheshimu mumewe".
Hiyo kauli ya mwishi ni tatizo tasilimu. Ukilifanya kosa la kumuoa mwanamke aliyekuzidi au mliye sawa kielimu au kipato, basi tafuta namna ya kuishi naye ili ndoa idumu.
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Wanaume kabla hamjalalamika jilaumuni kwanza kwa kushindwa kusimamia vyema 'uanaume wenu', Just imagine, umefanya kitu kisichomfurahisha na yeye mwanaume anakununia! Seriously?? Mwanamke anune na mwanaume anune???

Niliwahi date guy flani nilikuwa na act kama Mama yake kuliko mpenzi wake kila siku I am being like 'babe please stop this, babe please do this' the same thing applied everyday..!! Unakuja niambia hapa nimuheshimu while yeye mwenyewe hawezi kujiendesha???

Tunapenda sana na kumuheshimu mwanaume anajua yeye ni nani na anasimamia nafasi yake, we all love strong men they make us feel so secured.!!

Guys, hata kama huna hata 100 simamia nafasi yako kwa mpenzi wako, I swear atakuheshimu.!! Changes begins with you..!!
 
Ukiona mwanamke amefikia hapo basi ni wewe mwanaume ndo umeyataka kwa kuyaruhusu hayo. Ni kielelezo tosha kuwa wewe mwanaume ni DHAIFU.

"Nyumba inaenda vema baba akiwa na kauli ya mwisho." Baba yangu alishawahi kunambia vivyo. Na pia wewe mwanaume ndo una jukumu la kumshape mwanamke wako, ajue unataka nini na unapenda nini. Si mpaka uwe ushamweka ndani!

Kimila zetu, wazazi wa mwanaume wakishabaini kuwa nyumba 'imekaliwa na mwanamke' hutowaona wakija kukutembelea hata siku moja hapo kwako!
 
Sasa utaliwa na wangapi hadi uje kupata huyo utakayeshindwa mpanda kichwani??

Maana ukute hata sisi,ukinitest nakubali unipande kichwani,kumbe lengo langu pia sikutaki... Amka..utaliwa na wanaume wengi sana
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
 
Back
Top Bottom