Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Na pia vimeandika "mwanaume ampende mkewe" je wanaume wa siku hizi wanawapenda wake zao? Upendo unaomaanishwa hapo ni pamoja na kutowasaliti wake zao sasa ni wanaume wangapi leo hii hawawasiliti wake zao? Ni wachache mno na hao ndo wanastahili kuheshimiwa na wake zaoYaani omba tu ajitambue kuwa yeye yu mwanamke. Hata apate nini haibadilishi kitu mtafika.
Wapo walio oa wanawake wamewazidi kila kitu na ndoa inasonga.
Shida huja ukishakuwa na mwanamke kakuzidi automatic unakosa kujiamini. Ndio maana wanaume wengi tunawakimbia.
Vitabu vimeandika "Mwanamke na amuheshimu mumewe".
Ila wengine wote hawastahili kuheshimiwa tena zaidi wanastahili kutukanwa kabisa maana hata wao hawajiheshimu sasa wanaume endeleeni na kamsemo kenu hako eti "hakuna mwanaume asiyechepuka" sijui "mwanaume kuchepuka ni kawaida" wakati maandiko yapo na yanaeleweka