Wanaume kabla hamjalalamika jilaumuni kwanza kwa kushindwa kusimamia vyema 'uanaume wenu', Just imagine, umefanya kitu kisichomfurahisha na yeye mwanaume anakununia! Seriously?? Mwanamke anune na mwanaume anune???
Niliwahi date guy flani nilikuwa na act kama Mama yake kuliko mpenzi wake kila siku I am being like 'babe please stop this, babe please do this' the same thing applied everyday..!! Unakuja niambia hapa nimuheshimu while yeye mwenyewe hawezi kujiendesha???
Tunapenda sana na kumuheshimu mwanaume anajua yeye ni nani na anasimamia nafasi yake, we all love strong men they make us feel so secured.!!
Guys, hata kama huna hata 100 simamia nafasi yako kwa mpenzi wako, I swear atakuheshimu.!! Changes begins with you..!!