Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Hivi vitu sometimes vinaanzia mbali sana. Mazingira au jamii ambayo mtu anakulia vinahusika kwa namna kubwa kumjenga mtu kuwa wa aina fulani. Mwingine unakuta kalelewa na mama, hivyo mama alikuwa aliplay part zote mbili ya baba na mama kiasi cha kumfanya huyu binti kudhani kuwa mwanamke anapaswa kuwa na sauti kama alivyokuwa mama yake. Zipo baadhi ya jamii kutokana na wanaume kuwa watu wa vijiweni ka kucheza bao, wanawake wamekuwa ndio watafutaji wakuu, hivyo kuwafanya kuwa na sauti dhidi ya wanaume. So binti anapokulia katika jamii kama hizi tayari anakuwa kajengeka kuwa yeye ndo sauti ya familia.
 
Udhaifu ni nini?

Ukitoa nduu-gay udhaifu ni kukubali kupandwa kichwani na mwanamke.
 
Ukikubali kumuachia mwanamke majukumu yako basi ukumbuke kumuachia na nafasi yako
Mwanaume utaruhusu vipi kutawaliwa? Lazima kwanza ujifahamu kua we ni mwanaume, ukiwa huna pesa, ukiwa hujasoma na mengine mengi, onyesha uanaume wako(alfa male)
 
Wanaume kabla hamjalalamika jilaumuni kwanza kwa kushindwa kusimamia vyema 'uanaume wenu', Just imagine, umefanya kitu kisichomfurahisha na yeye mwanaume anakununia! Seriously?? Mwanamke anune na mwanaume anune???

Niliwahi date guy flani nilikuwa na act kama Mama yake kuliko mpenzi wake kila siku I am being like 'babe please stop this, babe please do this' the same thing applied everyday..!! Unakuja niambia hapa nimuheshimu while yeye mwenyewe hawezi kujiendesha???

Tunapenda sana na kumuheshimu mwanaume anajua yeye ni nani na anasimamia nafasi yake, we all love strong men they make us feeling so secured.!!

Guys, hata kama huna hata 100 simamia nafasi yako kwa mpenzi wako, I swear atakuheshimu.!! Changes begins with you..!!
Umenena hapo kabisa, its true
 
Kwa nn isiwe na mahusiano?? (With fact)

Mm ninaona ni lazima iwe na mahusiano kwasababu tabia ya mtu inakuwa influenced na vitu viwili

1. Yeye mwenyewe anapokuwa ametambua yeye n nan anataka nn na aishije kufikia lile lengo lake.

2. Pili n tabia ambayo ipo influenced na mazingira ambayo yanamzunguka kma familia, marafaki na jamii (kabila, zone, nchi, mpka bara kupitia mila tamamduni na ways of conduct)

Kwa hapo nadhani anawauwezo wa kusema hvyo. Sijui wewe unamtazamo gani!
Mm naamini tabia ya mtu ni matokeo ya mazingira na malezi wala sio pesa, elimu au Mali
Sijaona mahala elimu inatufundisha kuwa na kiburi

Ukiona mtu Ana kiburi kwa sababu ya elimu au Mali basi jua huyo alikuwa nacho tangu mwanzo

Pia dini inainfluence kubwa kwenye tabia ya mtu
 
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Jamii ya sasa imeandaa wanawake ambao kimsingi hajawaandaliwa wanaume wa kudeal nao. Kwa hiyo mwanaume usipojipanga. You're all dead.
 
Na sisi tunaogopa wa kwenu kwa kuwa wanakuroga kwanza wanakutawala. Halafu hakuna cha maana baada ya kukuroga na kukutia umaskini. Wao raha yao ufuska tuuuu na rika zote.

Kipi bora akuachae salama akakupa maneno au akurogae kwanza ndo akakupa maneno?
Ukioa Mwanamke wa Kaskazini na ww sio wa kaskazini Jiandae kwa hili. Ni wababe balaa. Ukiyumba kiuchumi unaweza hama nchi
 
Mwanamke ni kiumbe dhaifu tu kwa Mwanaume so kipigo kipo pale pale patapohitajika kutumika lkn sijasema nitakuwa nakupiga kwa kila kosa hiyo ni BIG NO
Wewe lazima upate mbabe mwenzio ili ndundane vizuri, maana akili yako ishaweka imani katika kupiga
 
Basi pendekeza inbox zifutwe kama kuja ninapoishi ni vigumu lkn hata inbox pia si utetezi juu yako la sivyo utakuwa unatapa tapa tu ukitafuta pa kufia kwa kukosa sababu maalum
Boss embu kuwa serious
Yaani kufwata vithibitisho nifunge safari hadi unapoishi!?!
Kama mada imejadiliwa jf basi hata vithibithisho vitolewe humu humu
 
Sioi bondia ili tuwe tunapigana la hasha! 7bu sioni sehemu ya kupiga ktk mwili wa Ke kwa jinsi alivyoumbwa kiudhaifu lkn huwa kuna muda mnapimaga akili zetu Me, na hapo ndipo huwa sirudi nyuma hata kdg ktk kuonesha uhalisia wangu kama Me
Wewe lazima upate mbabe mwenzio ili ndundane vizuri, maana akili yako ishaweka imani katika kupiga
 
Ushetani tu unawasumbua...mwanaume ni kichwa au msingi ktk nyumba...
sio kweli siku hizi ndoa ny8ngi anahudumia mwanamke na baba yupo tena ana kazi...sasa kama umeniachia majukum yote utaniamrisha nn ww ndan ya nyumba ata ukisema usivae ivi au sitaki uwe na rafiki ako fulani wala sitakusikiliza sababu mm ndio mlez wa familia...alafu wanaume mliooa hamtoi chochote nyumban ebu semeni nn tatizo..na ela mnazo
 
Mfano ukaolewa bahat mbaya mume akapata ajali akawa kibwengo ana mikono na miguu hawezi kukuhudumia wewe ndo unahudumia utafanya hayo manyanyaso na timbwili Kama unayo yasema kisa wewe ndo unahudumia?


Selfish creature
sio kweli siku hizi ndoa ny8ngi anahudumia mwanamke na baba yupo tena ana kazi...sasa kama umeniachia majukum yote utaniamrisha nn ww ndan ya nyumba ata ukisema usivae ivi au sitaki uwe na rafiki ako fulani wala sitakusikiliza sababu mm ndio mlez wa familia...alafu wanaume mliooa hamtoi chochote nyumban ebu semeni nn tatizo..na ela mnazo
 
Mwanaume shoga ndo anapigwa na mwanamke the rest tuliobakia ukileta ubabe unanitunishia msuli nakutengua kiuno
Wewe lazima upate mbabe mwenzio ili ndundane vizuri, maana akili yako ishaweka imani katika kupiga
 
Basi pendekeza inbox zifutwe kama kuja ninapoishi ni vigumu lkn hata inbox pia si utetezi juu yako la sivyo utakuwa unatapa tapa tu ukitafuta pa kufia kwa kukosa sababu maalum
Weka tu hapa ili tujifunze wote
Km unataka nijifunze pekeyangu hapo sawa
 
Tumeshachelewaaa! hawa walitakiwa kukaa ndani tuu...tukubaliane na hali tu.
 
Umesahau walipiga stry na shetani.mda mrefu pale bustanini. Hayo ni moja ya maelekezo waliyopewa....NA MENGINE MAKUBWA YANAKUJA
 
Sioi bondia ili tuwe tunapigana la hasha! 7bu sioni sehemu ya kupiga ktk mwili wa Ke kwa jinsi alivyoumbwa kiudhaifu lkn huwa kuna muda mnapimaga akili zetu Me, na hapo ndipo huwa sirudi nyuma hata kdg ktk kuonesha uhalisia wangu kama Me
Haya baba
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom