Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

sio kweli siku hizi ndoa ny8ngi anahudumia mwanamke na baba yupo tena ana kazi...sasa kama umeniachia majukum yote utaniamrisha nn ww ndan ya nyumba ata ukisema usivae ivi au sitaki uwe na rafiki ako fulani wala sitakusikiliza sababu mm ndio mlez wa familia...alafu wanaume mliooa hamtoi chochote nyumban ebu semeni nn tatizo..na ela mnazo
Sasa si ukae peke yako...muache maana hata talaka utapata ukitaka. Kipi kinachokukalisha kwenye hiyo ndoa km maagizo yake hufuati
 
Mfano ukaolewa bahat mbaya mume akapata ajali akawa kibwengo ana mikono na miguu hawezi kukuhudumia wewe ndo unahudumia utafanya hayo manyanyaso na timbwili Kama unayo yasema kisa wewe ndo unahudumia?

Selfish creature
sasa apo ana tatizo so hamna shida mi nimesema wenye uwezo ila hawafanyi chochote.
 
Mwanamke anaamka asubuhi, anaandaa watoto waende shule, anajiandaa na yeye kwenda sokoni kununua mahitaji kwa ajili ya genge lake, anarudi kabebelea mizigo, anafungua genge, anaanza kuuza, inafika mchana anapika haraka kwa ajili ya watoto wakirudi wale, anarudi saa moja jioni, kachoka lakini anapika kwa ajili ya chakula cha usiku, anahakikisha watoto wote wamefanya home work na kufua wamefua, analala saa tano usiku, anaamka kesho yake saa tisa alfajiri, ndio daily routine yake hiyo.

Wakati yote hayo yakitendeka, baba (kichwa cha familia) anaamka saa mbili, anakunywa chai anaenda kijiweni kazi yake anajiita dalali ya viwanja na nyumba.

50 kwa 50 inafanya kazi ajabu wababa ndio wanalia lia, lol
 
Mfano ukaolewa bahat mbaya mume akapata ajali akawa kibwengo ana mikono na miguu hawezi kukuhudumia wewe ndo unahudumia utafanya hayo manyanyaso na timbwili Kama unayo yasema kisa wewe ndo unahudumia?

Selfish creature

Wewe siyo kila mwanaume anastahili kufanyiwa mazuri hebu elewa yaani wewe uwe mzinzi au mnyanyasaji halafu ukipata matatizo ndo umlilie mkeo? Unataka akufanyie mazuri wewe ulimfanyia mazuri?

Huo uzinzi na unyanyasaji wenu ndo umesababisha hadi na wake zenu wawe na roho mbaya na ngumu kwenu msilazimishe wavumilie na wasamehe ujinga wenu kila siku tena kama wewe ulivyo malaya na mlevi hivyo halafu unataka mwanamke mtakatifu atakayekufanyia mazuri tu? Wewe ungeweza?
 
Hivi kama nakuhudumia ndani vzur nakutunza na nakuheshimu kama mke ulevi unahusika vipi hapa mnataka muingilie uhuru na furaha za watu wengine furaha zao ni pombe, mpira nk huko ni kuingiliana mipaka

Hamjawahi tosheka

Kuhudumia siyo ticket ya wewe kufanya maovu unavyojisikia halafu hata biblia imeandika sifa za mke mwema na moja ya sifa za mke mwema ni yule anayechunga njia na mienendo ya watu wa nyumbani kwake sasa sijui ninyi mnataka wake wema wa aina gani hao?

Nimegundua hamtaki wake wema bali mnataka wake mafala kwenu nyie mafala ndo mnawaona wema na mke anayemuacha mumewe afanye maovu bila kumkosoa na kumrekebisha eti kisa huyo mume anamhudumia na anamheshimu basi huyo siyo mke mwema ni tatizo hilo na huo wala siyo utii bali ni uoga tuliambiwa tuwatii hatukuambiwa tuwaogope ila wanaume mnataka tuwaogope kitu ambacho hatukuagizwa
 
Sijawahi kukumbana na tatizo hili,na nikilihisi huwa nalidhibiti kwa vitendo(siyo kwa mabavu)kwa mikakati mathubuti,mwanamke akikutana na mwanaume imara kifikira hutamsikia ana apply position yako,na ukimuona anataka kukalia kiti chako jua kuna mahali unapwaya.
 
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Ni moja tu bossy tumechoka nyie ni mnazubaa sisi akili zinasoma kama mita ndio maana tumeshikilia kitako wewe mpini

Unaogopa kuongea kimya tusije kukukata
 
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Wewe umeolewa?
 
Kusalitiwa umeona ni tatizo sana mkuu? Hivi unajua matatizo mengi ya kimahusiano yako katika mfumo wa cause and effect.

Mwanaume ili asaliti lazma kuwe na tatizo mahala.
1.Mwanamke hawajibiki katika nafasi yake au mvivu wa kufanya majukumu yake. Ratiba za uchi,Uchafu wa mazingira na mwili, poor household management n.k

2.Mlalamishi au gubu limezidi na kususa susa kama mtoto. Kukosa amani nyumbani. We need to rest tunaporudi home baada ya mihangaiko ila tunalazimika tufikie bar kwanza.

3.Mwanamke ana dharau kutokana na kipato au cheo chake kazini analeta ubosi hadi mjengoni. Ile akili ya kama naenda kazini basi tuwekeane zamu ya kudeki,kupika na kuosha vyombo. Kila mtu ajifulie nguo zake na kujipigia pasi maana wote tuna mikono. [emoji38][emoji38][emoji38]

4.Akili za kukopa aidha kwa mama au mashosti. Kila mpango lazma upite bungeni kwa mashosti zako au mama ako ndio ukubaliane na mume.

Hizo ni baadhi tu za sababu zinazofanya wanaume wa kweli wachepuke. Kuchepuka ni effect tu ila kuna visababishi ambazo ndo hizo cause. Jitafakari tu mwenendo wako ukiwa kwenye mahusiano.

Mie kuna ka manzi nilikaacha hakana shida yeyote, sex anajitahidi, sio malaya ila tu kuna vitabia sikuvipenda tu. Mlalamishi sana na ana style ya pekee ya kuchomekea mizinga like aliexpect nimfanyie makubwa kwenye mahusiano wakati sikuwa katika position hio, halafu pia ana ubishi flani hivi sometimes na ni mvivu wa kufikiria kitu kikimshinda ana panic na ku loose control kwa hasira. Yani hata kumuelekeza jambo inataka moyo haswa maana akiwa haelewi anachemka kwa hasira. Inshort ni kilazahakuwa mwanamke ambaye ningepiga nae hatua.
Wanaume kuchepuka ni tamaa mkuu wala hakuna sababu. Kuna mshkaji wangu namfahamu vzr sana, ana mke wake mzuri sana alimuoa akiwa bado binti mbichi na mke wake anamuheshimu sana mumewe, anawajibika haswa kama mke lkn mume ni kiwembe hatari. Yaani huko nje ni anajulikana kwa kupenda sketi. Hakuna baa asiyojulikana kuanzia ubungo hadi kibaha yote.
 
Huyo ni mmoja wa wanaume washenzi, naweza kumuita hivyo maana huwezi kuwa malaya ikiwa mkeo anakupa kila kitu.
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Huniachi ng'oo! ntahakikisha hiyo papuchi inachakaa bila kupigwa!
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Hili jibu lako ni la dhati 100%. Mwanamke haanzi kumtawala mwanaume overnight. Huwa inaanza kidogo kidogo hadi Ke anamkalia kichwani....hiyo inaitwa female shit test.

Wanaume wengi badala ya kukemea utopolo wa mwanamke, wenyewe wanavumilia wakijidanganya eti mapenzi ni uvumilivu.
A man should know how to keep a woman in her place.
 
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Ndani ya nyumba mwanamke ndie malkia na atakiwa kutawala kwasababu yeye ndie mlinda mji. Sasa mwanamke asipokuwa na sauti kwake atakuwa na sauti wapi?!

Kuna mambo unatakiwa ujue.... Mwanamke ni manager wewe ni CEO so kila mtu asimamie nafasi yake...
 
Back
Top Bottom