Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Uishi miaka mingi lkn akina Demiss, Rebecca, Denilysh wanasemaje kwanza kwa hii hoja yako Mama[emoji848]Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Hajatokea kanda ya ziwa kweli huyo[emoji848]Umenifurahisha sana kwa hekima zako wanawake wachache sana kwa sasa wenye uelewa wa namna hii,Bila shaka utakuwa umetoka familia inayoeleweka, Agizia soda hapo kwa Mangi ntalipa
kutokana na mwanaume mwenyewe ulivyo...wewe njoo kanda ya ziwa huku uone kama kuna mwanamke anarefusha mdomo kuingilia mambo yasiyikuwa yakeIvi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,
Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji
Ivi tatizo ni nini mpka iwee iviii
Ebu watake radhi Baba na Kaka zako wa Dar kwa niaba yangu basi Mama la Mama [emoji87]Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Kwani umekuwa wala Watu toka Msumbiji "Zambe" tuliowasomaga kipindi hicho ktk history hadi ule jicho la Mkeo [emoji848][emoji57]Jamani msiseme sana siku hizi tukiwa kitandani kuna kitu tunasusiwa eeeeeh nyie acheni tu
"haters watasema mimi mla jicho"
Niliyosema yaleKwani umekuwa wala Watu toka Msumbiji "Zambe" tuliowasomaga kipindi hicho ktk history hadi ule jicho la Mkeo [emoji848][emoji57]
Sawa Mzee BabaNiliyosema yale
Sasa kama mwanamume ni boya kwa nini usimutawale?Ushetani tu unawasumbua...mwanaume ni kichwa au msingi ktk nyumba...
Umeolewa?Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Hiyo kauli ya mwishi ni tatizo tasilimu. Ukilifanya kosa la kumuoa mwanamke aliyekuzidi au mliye sawa kielimu au kipato, basi tafuta namna ya kuishi naye ili ndoa idumu.Tatizo linaanzia kwako mwenyewe.
Ukiona yeye kaanza kushika usukani na kuota mapembe jichunguze.
Na kuna ile "kama kusoma na mimi nimesoma."
Hiyo kauli ya mwishi ni tatizo tasilimu. Ukilifanya kosa la kumuoa mwanamke aliyekuzidi au mliye sawa kielimu au kipato, basi tafuta namna ya kuishi naye ili ndoa idumu.
Wanaume kabla hamjalalamika jilaumuni kwanza kwa kushindwa kusimamia vyema 'uanaume wenu', Just imagine, umefanya kitu kisichomfurahisha na yeye mwanaume anakununia! Seriously?? Mwanamke anune na mwanaume anune???Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Ushetani tu unawasumbua...mwanaume ni kichwa au msingi ktk nyumba...
Umefanya utafiti kwa watu wote wa kaskazini!?Ukioa Mwanamke wa Kaskazini na ww sio wa kaskazini Jiandae kwa hili. Ni wababe balaa. Ukiyumba kiuchumi unaweza hama nchi
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.