Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Na pia vimeandika "mwanaume ampende mkewe" je wanaume wa siku hizi wanawapenda wake zao? Upendo unaomaanishwa hapo ni pamoja na kutowasaliti wake zao sasa ni wanaume wangapi leo hii hawawasiliti wake zao? Ni wachache mno na hao ndo wanastahili kuheshimiwa na wake zao

Ila wengine wote hawastahili kuheshimiwa tena zaidi wanastahili kutukanwa kabisa maana hata wao hawajiheshimu sasa wanaume endeleeni na kamsemo kenu hako eti "hakuna mwanaume asiyechepuka" sijui "mwanaume kuchepuka ni kawaida" wakati maandiko yapo na yanaeleweka
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Hichi nacho ni kipengele kimojawapo sipend kuhusu wadada
 
Wanawake wenye fikira hizi mmebaki Haba sana. .. hii mitandao umekuja na kimbunga kinacho zoa maadili ya Dada/wake /mama zetu kwa kasi kubwa mnooo
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
 
Hahaha eti panga. .. hawakawii kuku record hawa naku post insta na kuanza kudai Haki za Ubinaadamu ---Kuwa wanaonewa ..mkuu be carefully
 
Words
 
For sure
Msemo wa haki sawa kwa wote unatupeleka kasi sana .

Ila ukweli utabaki palepale mwanaume ni kichwa cha familia na mwanamke ni shingo sijawahi ona shingo inashinda kichwa ni usasa tu unatusumbua wanawake
 
Kwani utafifi unafanywa kwa watu wote?? Utafiti unafanywa kwa Random Sampling. U cant access all people. Oa Mpare, Mchaga, Mmeru, M'arusha, M'iraque au wa babati huko ndo utawajua wanawake wa kaskazini walivyo. Mbaya zaidi ww usiwe wa kaskazini ndo utaisoma Namba vizuri. Wanawake wa Kuoa ni Wamasai tuu
Umefanya utafiti kwa watu wote wa kaskazini!?
Mbona mnapenda kuconclude Mambo kwa sababu tu ya Watu wachache!???

Tabia ya mtu sidhani Kama inahusiana na kabila lake
 
Sasa utaliwa na wangapi hadi uje kupata huyo utakayeshindwa mpanda kichwani??

Maana ukute hata sisi,ukinitest nakubali unipande kichwani,kumbe lengo langu pia sikutaki... Amka..utaliwa na wanaume wengi sana
Wewe una character ngumu sana ila kwangu utatulia hata kwa makofiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ huwa siruhusu mwanamke anijeurie hata nilienae alishafanya huo utoto na amechezea vichapo kama vyote sahivi ametuliza wenge.

We hujapata mwanaume wa kukukata wenge bado...unakutana na vivulana zaidi.
 
Msemo wa haki sawa kwa wote unatupeleka kasi sana .

Ila ukweli utabaki palepale mwanaume ni kichwa cha familia na mwanamke ni shingo sijawahi ona shingo inashinda kichwa ni usasa tu unatusumbua wanawake
Hahahaha sometime mnakua real sometime mnazingua ila fresh tutafika tu. Mi nasemaga sifa ya kuwa mwanaume tu inatosha sana kwa binti mwenye hekima kutambua mipaka yake, mwanaume anashauriwa haendeshwi jamani.

Tell your man mi naona hili ndio limekaa vyema zaidi tufanye hili, akiwa mbishi unamuacha akiyumba tu next time lazma arudi kwako kwanza aseme hapa tunafanyaje mke wangu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ simple as that.
 
Kwa nilipoanza mahusiano hadi kufikia hapa nilipo sasa, i agree with you! Japo mademu humu wananionaga Iddi Amin au Bandidu ila trust me its the best feeling you can offer to any real woman na wanapenda. Lazma uoneshe possession ya nafasi na territories zako.
 
Kusalitiwa umeona ni tatizo sana mkuu? Hivi unajua matatizo mengi ya kimahusiano yako katika mfumo wa cause and effect.

Mwanaume ili asaliti lazma kuwe na tatizo mahala.
1.Mwanamke hawajibiki katika nafasi yake au mvivu wa kufanya majukumu yake. Ratiba za uchi,Uchafu wa mazingira na mwili, poor household management n.k

2.Mlalamishi au gubu limezidi na kususa susa kama mtoto. Kukosa amani nyumbani. We need to rest tunaporudi home baada ya mihangaiko ila tunalazimika tufikie bar kwanza.

3.Mwanamke ana dharau kutokana na kipato au cheo chake kazini analeta ubosi hadi mjengoni. Ile akili ya kama naenda kazini basi tuwekeane zamu ya kudeki,kupika na kuosha vyombo. Kila mtu ajifulie nguo zake na kujipigia pasi maana wote tuna mikono. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

4.Akili za kukopa aidha kwa mama au mashosti. Kila mpango lazma upite bungeni kwa mashosti zako au mama ako ndio ukubaliane na mume.

Hizo ni baadhi tu za sababu zinazofanya wanaume wa kweli wachepuke. Kuchepuka ni effect tu ila kuna visababishi ambazo ndo hizo cause. Jitafakari tu mwenendo wako ukiwa kwenye mahusiano.

Mie kuna ka manzi nilikaacha hakana shida yeyote, sex anajitahidi, sio malaya ila tu kuna vitabia sikuvipenda tu. Mlalamishi sana na ana style ya pekee ya kuchomekea mizinga like aliexpect nimfanyie makubwa kwenye mahusiano wakati sikuwa katika position hio, halafu pia ana ubishi flani hivi sometimes na ni mvivu wa kufikiria kitu kikimshinda ana panic na ku loose control kwa hasira. Yani hata kumuelekeza jambo inataka moyo haswa maana akiwa haelewi anachemka kwa hasira. Inshort ni kilazahakuwa mwanamke ambaye ningepiga nae hatua.
 
Tuende tuendavyo ilikitokea imefikia huko ndani ya nyumba jua Mwanaume ndio sababu ya yote kwani kuanzia chini alishajitengenezea mazingira ya kupandwa kichwani.

Sababu haitokei tu mwanamke akawa juu lazima alianza taratibu.
Hujambo??
 
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…