Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sasa ukiwa bar,changudoa au wale wa show time wanaokuwa around unaweza kuongea nao huo utoto?Wasiokunywa mitungi wajuaji sana halaf wakitongoza mwanamke lazima walete sound za kuoa, wakat walevi hawana hizo..