Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Pole sana ndugu,
inatia huruma, inasikitisha sana...

msamehe mzee tafadhali, ya Mungu ni mengi huenda kuna fundisho ulokua unapewa kupitia sahibu hilo la fedheha katika familia yenu. Pole kwa mtihani mgumu ulopitia...
unampa pole ya nini tunawaonea tu wababa na libaba lizima linapigania wamama ngoja nikwambie kitu, hata mim baba yangu alikuwa mlevi tena bora wewe mama yako anapigwa alafu mzee anatoka hom siku mbili mm baba angu alikuwa ticha anahakikisha anavuruga kila kitu hom atamtandika mkewe mpaka kumuumiza na mama kushindwa kufanya kaz afu baba anasepa mwezi bila kuacha ki2 afu sis ndio tukafanye vibarua mama ale na sisi hapo mzee hajal kama kaajiliwa, and the day nakuja kumsikiliza mzee ukubwani, mbona nikamuona mama snich na chanzo ni yey hata ningekuwa mm ningesepa hawa wanawake hawa achen tu sema hamkaag na baba zenu kuongea nao yanayowasibu na mama kupandikiza sumu kwa watoto
 
Kuna wanaume malaya kama wanywa pombe? Chupa mbili tatu pombe zinakimbilia kichwa cha chini kila mwanamke anaanza kuwa mzuri na wakuvutia au nasema uongo Extrovert ?
Ukweli [emoji1651][emoji1651][emoji1651][emoji255][emoji255][emoji255]
 
unampa pole ya nini tunawaonea tu wababa na libaba lizima linapigania wamama ngoja nikwambie kitu, hata mim baba yangu alikuwa mlevi tena bora wewe mama yako anapigwa alafu mzee anatoka hom siku mbili mm baba angu alikuwa ticha anahakikisha anavuruga kila kitu hom atamtandika mkewe mpaka kumuumiza na mama kushindwa kufanya kaz afu baba anasepa mwezi bila kuacha ki2 afu sis ndio tukafanye vibarua mama ale na sisi hapo mzee hajal kama kaajiliwa, and the day nakuja kumsikiliza mzee ukubwani, mbona nikamuona mama snich na chanzo ni yey hata ningekuwa mm ningesepa hawa wanawake hawa achen tu sema hamkaag na baba zenu kuongea nao yanayowasibu na mama kupandikiza sumu kwa watoto
unampa pole ya nini tunawaonea tu wababa na libaba lizima linapigania wamama ngoja nikwambie kitu, hata mim baba yangu alikuwa mlevi tena bora wewe mama yako anapigwa alafu mzee anatoka hom siku mbili mm baba angu alikuwa ticha anahakikisha anavuruga kila kitu hom atamtandika mkewe mpaka kumuumiza na mama kushindwa kufanya kaz afu baba anasepa mwezi bila kuacha ki2 afu sis ndio tukafanye vibarua mama ale na sisi hapo mzee hajal kama kaajiliwa, and the day nakuja kumsikiliza mzee ukubwani, mbona nikamuona mama snich na chanzo ni yey hata ningekuwa mm ningesepa hawa wanawake hawa achen tu sema hamkaag na baba zenu kuongea nao yanayowasibu na mama kupandikiza sumu kwa watoto
I see a coded message within your again, very imotional story..

pole sana pia,
na hongera kwa ujasiri wa kushinda mtihani huo mgumu na wa fedheha sana ndani ya familia
 
Kuwa smart simamia unachoamini acha kuyumba kwa kuanza kunywa pombe Ili na wewe upendwe na mwanamke wakati ulikuwa hunywi coz akikuacha utakua taka taka kwenye pombe.

Stand for what you believe.
 
Kosa pombe shemej na mke wangenipanda kichwa, narud homer kama kuku mkimya shemej ananiteta na wife afu mwamba mi nimtu wa huruma na mpole sana bas kunasiku nikapita bar jamaa yangu akaniita akaniagizia maji na glas nilivyoenda kojua nikarud jamaa sijui alitia konyag nusu saa nikachange nikapand pkpk hom nafika hom wife kama kawa na mdogo wake c wakajua muhun yupo wa kila siku, kumbe mi stimu ipo kichwan wife njoo nipokee kwanza ni ile kibabe, bas nikawaita barazan nakuanza kuimba watotowangu eeh mimi baba yenu eeh sina nguvutena eeh........toka hapo nikamvuta shem lamba kofi moja,, wife akataka kujibu nikamzibua kibao cha makalion, jaman shemu wenu ni pisi, siku nikimpost mbona mtasema mr pipa dem wako hakuna kama huyo kwa hapa tz na zanzbr.....wakuu nilitaka tu fursa ya kumsifia shemu wenu haya ya mke kupenda mlev mi sijui
 
As long as unakunywa “wewe ni mlevi” Maamuzi yenu mkiwa mmelewa ni ya ovyo[emoji2],

Hasa wanawake sababu, wanawahi kuwa intoxicated ( thanks to their physiology) and kufanya maamuzi ya ovyo ni kugusa
 
Kosa pombe shemej na mke wangenipanda kichwa, narud homer kama kuku mkimya shemej ananiteta na wife afu mwamba mi nimtu wa huruma na mpole sana bas kunasiku nikapita bar jamaa yangu akaniita akaniagizia maji na glas nilivyoenda kojua nikarud jamaa sijui alitia konyag nusu saa nikachange nikapand pkpk hom nafika hom wife kama kawa na mdogo wake c wakajua muhun yupo wa kila siku, kumbe mi stimu ipo kichwan wife njoo nipokee kwanza ni ile kibabe, bas nikawaita barazan nakuanza kuimba watotowangu eeh mimi baba yenu eeh sina nguvutena eeh........toka hapo nikamvuta shem lamba kofi moja,, wife akataka kujibu nikamzibua kibao cha makalion, jaman shemu wenu ni pisi, siku nikimpost mbona mtasema mr pipa dem wako hakuna kama huyo kwa hapa tz na zanzbr.....wakuu nilitaka tu fursa ya kumsifia shemu wenu haya ya mke kupenda mlev mi sijui
Tayari Gage kama ishapanda hivi
 
A common pattern they use;

*seduce
*manipulate
*control (give up your powers)

They have no strength as men do, so the easiest way is to use them through their weaknesses. Refer to the case of Samson and Delilah.
 
Wanawake walevi ndo wanapenda wanaume walevi. Hivi mnajua mdomo, na mwili wa mwnaume aliyelewa unavyonuka? Then ndo ulale kifuani kwake utoke jasho la harufu ya mipombe yako
 
Yan kutongoza ni mpaka mlewe, shame on you, siwezi kunywa pombe tena, nishavuka huko.
 
Back
Top Bottom