Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Tena bora huku mijini
Ila huko vijijn acha kabsa
Watoto tuliokulia tunaona mama anapigwa baba home anapotea hata siku mbili yupo kwenye pombe, mama yupo radhi asile ila anafanya kazi anahakikisha tunakula,
Ile kitu mpaka nakua imeniathiri yaani mzee wangu huwa naongea nae basi tu sijsikii kabisa, ila nishamsamehe ila kukaa naye kuongea never halizid lisaa sababu ya mateso tuliyoyaona mama anapitia
Pole sana ndugu,
inatia huruma, inasikitisha sana...

msamehe mzee tafadhali, ya Mungu ni mengi huenda kuna fundisho ulokua unapewa kupitia sahibu hilo la fedheha katika familia yenu. Pole kwa mtihani mgumu ulopitia...
 
Nishamsamehe kabisa.

Lakini ile bond unajua inkuwaga naturally naongea nae lakini si kama alivyo mama.na hata kumsaidia namsaidia na maisha yanaendelea.

Mkuu mwanaume mlevi kwenye familia yake ni mateso, 95% ni ni mateso
 
Walevi wote tunaokunywa pombe kila siku alafu tunatimiza wajibu wetu , tunajitambua sana. Kwanza huwez kua mnywaji Huna uhakika wa income yako .
 
Kuna wanaume malaya kama wanywa pombe? Chupa mbili tatu pombe zinakimbilia kichwa cha chini kila mwanamke anaanza kuwa mzuri na wakuvutia au nasema uongo Extrovert ?
Walevi wanapenda sana kujipa moyo. Pombe ndio kichocheo kikubwa cha ngono zembe.
 
Nishamsamehe kabisa.

Lakini ile bond unajua inkuwaga naturally naongea nae lakini si kama alivyo mama.na hata kumsaidia namsaidia na maisha yanaendelea.

Mkuu mwanaume mlevi kwenye familia yake ni mateso, 95% ni ni mateso
Dah aise,
Ya kusema hadi yanaisha
 
Uzi unakimbia huuu.... Ngoja niwaikuweka commet kwenye page namb 15 ili ukiwa kwenye page namba 2000 nisipate kazi ya kujitambulisha np pag namb....
 
Back
Top Bottom